Hahahaaaa kwanza King'asti si nimesikia tren za Mwakyembe zinaishia Tabata na Ubungo?Eti kaka, treni za mwakyembe ticket zake ni return? Nisije nikaenda kumuona b52 afu akawa hana nauli ya kurudia kwao!
Doubt any get many
Hivi unamzungumzia ruttashobolwa huyuhuyu aliyefumaniwa na Housegirl juzi?UMECHEMKA,
HAKUNA WA KUNITENGANISHA NA RUTTASHOBOLWA WANGU,
ANIPACHO NAKIJUA MIMI MWENYEWE.
Come baby Rutta, Come....
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga siku hizi yamejaa teleNjoo Ruttashobolwa wangu,
Achana nao hao,
Wanakuonea wivu.
Come baby...
Najua wanasema mengi sana ili niachane na wewe,lakini Mimi ni ruba na wewe ni ngozi.
Kunitoa mpaka atoke mtu Ngozi.
Halafu St. Paka Mweusi kauli yako sijailewa hadi sasa hebu refer age za nyuma then uje na maelezo ya kutosha kabla wakili wangu ruttashobolwa hajakupeleka mahakamani
@Erickb52 ukienda Mwanzahakikisha unapitia Meatu kuona hali za wanagu maana tangu niende sijarudi tena....Please Erick Usisahau
Heeheheee Mr Rocky mara uniombe mara ujifanye unanirushia mzigo lolThe secretary bora umesema kweli
Aahh nilitaka niseme hilo hilo
Hapa anatudanganya safari ya mwanza kumbe meatu kubeba watoto wake
Erickb52 utuletee sato na sangara aise
Hahahaaaa yani hili ni bonge la wimbo aisee
Ngoja niudownload then niuweke kwenye kamchina kangu ili nikimkumbuka tu Amyner nakasikiliza
Hivi unamzungumzia ruttashobolwa huyuhuyu aliyefumaniwa na Housegirl juzi?
Madame B achana na hao wanaogombana badala ya kukupa raha za dunia uje kwangu meeeen!Huyo huwa tunakutana naye maeneo na hapa nishamfungulia mashtaka ya kunitishia kifo na kesi inasubiri kupangiwa Tarehe na Jaji tu,na nilishamwambia mwaka huu nnaye tu mpaka kieleweke kwa Madame B
njoo ruttashobolwa wangu,
achana nao hao,
wanakuonea wivu.
Come baby...
Najua wanasema mengi sana ili niachane na wewe,lakini mimi ni ruba na wewe ni ngozi.
Kunitoa mpaka atoke mtu ngozi.
Hivi unamzungumzia ruttashobolwa huyuhuyu aliyefumaniwa na Housegirl juzi?
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga siku hizi yamejaa tele
Hatudanganyiki meeeen!
We njoo tuongee biashara ya Penguin
Huyo huwa tunakutana naye maeneo na hapa nishamfungulia mashtaka ya kunitishia kifo na kesi inasubiri kupangiwa Tarehe na Jaji tu,na nilishamwambia mwaka huu nnaye tu mpaka kieleweke kwa Madame B
acha kumzuga basi! Kha