Erick Shigongo awa Mwanafunzi bora Chuo cha Tumaini

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora watatu ambao ni wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) katika kozi ya Shahada ya Kwanza ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) mwaka 2020.

Hafla ya kukabidhiwa vyeti hivyo imefanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini Kampasi ya Dar es Salaam, jana Ijumaa, Novemba 20, 2020, na kuhudhuriwa na wanafunzi wahitimu wa kozi mbalimbali chuoni hapo, wanafunzi wanaoendelea na masomo, wahadhiri na wahadhiri wasaidizi na jumuiya ya chuo kikuu hicho.

Shigongo ambaye hajawahi kusoma elimu ya sekondari, alijiunga na chuo kikuu hicho kupitia mfumo wa mitihani ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) uitwao Recognition of Prior Learning (RPL) kutokana na kipaji cha mtu na mchango wake katika tasnia husika. Baada ya kufanya mitihani hiyo mwaka 2017 alifaulu vizuri kwa kupata Daraja A ndipo akapewa kibali na TCU cha kujiunga na masomo ya chuo kikuu.

Licha ya kwamba hajawahi kusoma kabisa elimu ya sekondari kama ambavyo amekuwa akisema waziwazi katika semina na mikutano yake mbalimbali pamoja na vitabu alivyoandika, alivyopata nafasi ya kusoma chuo kikuu, aliamua kusoma kwa bidii darasani na kufuata taratibu zote za chuo hicho huku akijipunguzia baadhi ya majukumu katika makampuni yake ili aweze kuapata muda wa kutosha kujisomea.

“Kwa kweli huwa sipendi kabisa kushindwa, nilipoingia darasani mwaka 2017 kulikuwa na ushindani mkubwa, sababu wenzangu walikuwa wamesoma sekondari mpaka kidato cha sita na wengine walikuwa wana diploma, hivyo nililazimika kusoma sana ili angalau niende nao sawa, lakini juhudi zangu zimezaa matunda kwani nimekuwa mwanafunzi bora baada ya kuhitimu.

“Nimekuwa hapa chuoni kwa miaka mitatu nikisoma, hawaamini kama mimi ni darasa la saba, sijawahi kusoma elimu ya sekondari wala sijui kabisa chochote kusuhu sekondari, lakini leo nina furaha kwamba baada ya masomo yangu nimekuwa mwanafunzi baora lakini pia mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania

“Niwambie wanafunzi wenzangu mliobaki hapa shuleni na vijana wengine kote nchini, amini kwamba unaweza kuwa chochote, kikubwa ni juhudi zako tu, usikate tamaa, fanya kile unachokiamini, jitume sana utakipata kile unachokipata,” amesema Shigongo baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi.

KONGOLE MWESHIMIWA ERICK SHIGONGO, AMA KWELI BORA KUWA NA AKILI KULIKO KUWA NA ELIMU UKAKOSA AKILI
Kama hakufika six uyo ni hamna kitu
 
Kongole Shigongo! Inaonyesha hukufeli darasa la saba ila hukuchaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza.
 
Hicho Chuo kitakuwa kinapokea Vilaza wengi, Yaani Darasa la 7 aongoze waliopita Sekondari, tena vijana ambao damu inachemka.
Tumia tu busara mzee, sio qote ambao wameishia la saba , au chini ya hapo. Haimaanishi kwamba 'hawana' akili ama weledi.

Sio wote wenye elimu sana pia, inamaanisha wana akili sana.
Nikuombe ubadilishe hiyo 'picha ndani yako.

Kuna watu wengi tu, ambao hata la saba hawajafika. Lakini wamefanya mambo makubwa sana .
 
Florian Kaijage, a veteran Journalist and a current senior News editor with Azam TV, ndiye aliyetangazwa kuwa mwanafuzi bora wa chuo hicho, baada ya kupata ufaulu wa GPA 4.8 (not very sure of the figure), akifuatiwa kwa karibu na Comrade Eric Shigongo. Wote walikuwa wanasomea shahada ya kwanza za B.A ya Mass Com.
Kwa ukinara huo, Kaijage alipewa heshma ya kusoma hotuba ya shukrani ya wahitimu wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika Jumamosi iliyopita.
 
Tumia tu busara mzee, sio qote ambao wameishia la saba , au chini ya hapo. Haimaanishi kwamba 'hawana' akili ama weledi.

Sio wote wenye elimu sana pia, inamaanisha wana akili sana.
Nikuombe ubadilishe hiyo 'picha ndani yako.

Kuna watu wengi tu, ambao hata la saba hawajafika. Lakini wamefanya mambo makubwa sana .
Ndiyo mkuu hata Newton alikuwa na akili sana ndiyo aliyegundua fomula kwenye physics ambazo mpaka leo tunatumia.
 
Shigongo chuo anaenda na range rover.. siku nyingine V8, siku nyingine benz... yaani pale tumaini gari ya shigongo hupati shida kuigundua maana haifanani na zingine zote...

Walimu wa Tumaini na wafanyakazi wote wa chuo full shobo kwa shigongo .. kwa nini asiwe mwanafunzi bora?

Shigongo kuanzia ma lecture, wafanyakazi wa canteen, ma secretary mpaka wafagiaji wa chuo walikuwa wanamuheshimu sana..
Huyu jamaa simpendi kwa tabia zake, lakini ana akili sana, hata anapoongea unaona kabisa kuwa huyu ni mtu mwenye akili.
Hata unaposoma vitabu vyake unaweza kuona ni mtu wa aina gani, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Tumia tu busara mzee, sio qote ambao wameishia la saba , au chini ya hapo. Haimaanishi kwamba 'hawana' akili ama weledi.

Sio wote wenye elimu sana pia, inamaanisha wana akili sana.
Nikuombe ubadilishe hiyo 'picha ndani yako.

Kuna watu wengi tu, ambao hata la saba hawajafika. Lakini wamefanya mambo makubwa sana .

wana JF wengi wana dharau sana hasa waliosoma wakati tunapitwa maisha na watu walioishia la saba,
mama yangu aliishia la saba lakini alinisomesha private school
 
Back
Top Bottom