Erick Shigongo awa Mwanafunzi bora Chuo cha Tumaini

Erick Shigongo awa Mwanafunzi bora Chuo cha Tumaini

Watu wana wivu...wakati hata wao shigongo kawazidi kila kitu kwenye maisha? Kutengeneza pesa ni kipimo cha akili.. shigongo ana akili kuwazidi wanaompinga
Utazani alizaliwa kipindi cha hamna ajira,,,, kajikamua kujiajiri ndo apate hizo degree, wakati tuna mabehewa yamejaza madegree mtaani balaa.
 
Hongera kubwa sana

Yaani kapambania kujiajiri ndo aipate elimu.

Full vise versa ningejuaga hata Mimi chekechea nsingeanza KBS.

Hongera shigongo.

Shigongo ameenda kusoma digrii.. sababu ilikuwa ndoto yake na mama yake. Walikuwa maskini sana... ndio maana hata baada ya kupata utajiri akaamua kwenda kutimiza ndoto... yeye digrii kasoma ku enjoy tu masomo na ku experience maisha ya mwanachuo...
 
Utazani alizaliwa kipindi cha hamna ajira,,,, kajikamua kujiajiri ndo apate hizo degree, wakati tuna mabehewa yamejaza madegree mtaani balaa.

Chuoni anaenda na magari ya bei juu.. mpaka ma lecture wanayashangaa.. kasoma kibabe sana shigongo... yeye kila desa ama kitabu anapewa moja kwa moja haangaiki kutoa ma photocopy.. baadae anapewa bill tu na mwalimu.. analipia
 
Kuna la kujifunza
 
Hata havard inawezekana. Hujui mature entry system...ama shahada ya kurasimisha ujuzi
Hivi hujaona kama hilo ni swali kwa maana nimeweka kiulizo mwishoni na hilo neno kuwa mimi sijaelewa bado haijatosha kujua kwamba sijaelewa na sio kusema haiwezekani.
 
Back
Top Bottom