Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,473
sasa si wangerasimisha wale wafanyakasHata vyuo vikubwa duniani kama havard ama oxford inawezekana kwa mfumo wa non traditional student. Ama mature entry system...ama shahada ya kurasimisha ujuzi
soma maelezo kwa utulivuKwangu naona hapa kuna kitu hakisemwi. Hakuna Chuo Tanzania kitakudahili ukiwa na elimu ya darasa la 7 tena enzi hizi za uncle Magu. Ni kipi cha zaidi alifanya hadi akapata udahili hapo chuoni na udahili wake ukathibitishwa na TCU? Wanaojua watueleze.