Hicho Chuo kitakuwa kinapokea Vilaza wengi, Yaani Darasa la 7 aongoze waliopita Sekondari, tena vijana ambao damu inachemka.
Maajabu ya sera za mzee baba.
Hicho Chuo kitakuwa kinapokea Vilaza wengi, Yaani Darasa la 7 aongoze waliopita Sekondari, tena vijana ambao damu inachemka.
MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora watatu ambao ni wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) katika kozi ya Shahada ya Kwanza ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) mwaka 2020.
Hafla ya kukabidhiwa vyeti hivyo imefanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini Kampasi ya Dar es Salaam, jana Ijumaa, Novemba 20, 2020, na kuhudhuriwa na wanafunzi wahitimu wa kozi mbalimbali chuoni hapo, wanafunzi wanaoendelea na masomo, wahadhiri na wahadhiri wasaidizi na jumuiya ya chuo kikuu hicho.
Shigongo ambaye hajawahi kusoma elimu ya sekondari, alijiunga na chuo kikuu hicho kupitia mfumo wa mitihani ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) uitwao Recognition of Prior Learning (RPL) kutokana na kipaji cha mtu na mchango wake katika tasnia husika. Baada ya kufanya mitihani hiyo mwaka 2017 alifaulu vizuri kwa kupata Daraja A ndipo akapewa kibali na TCU cha kujiunga na masomo ya chuo kikuu.
Licha ya kwamba hajawahi kusoma kabisa elimu ya sekondari kama ambavyo amekuwa akisema waziwazi katika semina na mikutano yake mbalimbali pamoja na vitabu alivyoandika, alivyopata nafasi ya kusoma chuo kikuu, aliamua kusoma kwa bidii darasani na kufuata taratibu zote za chuo hicho huku akijipunguzia baadhi ya majukumu katika makampuni yake ili aweze kuapata muda wa kutosha kujisomea.
“Kwa kweli huwa sipendi kabisa kushindwa, nilipoingia darasani mwaka 2017 kulikuwa na ushindani mkubwa, sababu wenzangu walikuwa wamesoma sekondari mpaka kidato cha sita na wengine walikuwa wana diploma, hivyo nililazimika kusoma sana ili angalau niende nao sawa, lakini juhudi zangu zimezaa matunda kwani nimekuwa mwanafunzi bora baada ya kuhitimu.
“Nimekuwa hapa chuoni kwa miaka mitatu nikisoma, hawaamini kama mimi ni darasa la saba, sijawahi kusoma elimu ya sekondari wala sijui kabisa chochote kusuhu sekondari, lakini leo nina furaha kwamba baada ya masomo yangu nimekuwa mwanafunzi baora lakini pia mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania
“Niwambie wanafunzi wenzangu mliobaki hapa shuleni na vijana wengine kote nchini, amini kwamba unaweza kuwa chochote, kikubwa ni juhudi zako tu, usikate tamaa, fanya kile unachokiamini, jitume sana utakipata kile unachokipata,” amesema Shigongo baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi.
KONGOLE MWESHIMIWA ERICK SHIGONGO, AMA KWELI BORA KUWA NA AKILI KULIKO KUWA NA ELIMU UKAKOSA AKILI
Kwenye hicho chuo hamna wanawake?Darasa la saba kaongoza!?? Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa. Wanaume wa Dar mmelegea sana jamani.
Haiwezekani ni uongo mtu kashinda zaidi ya miezi 4 kwy kampeni alafu awe mwanafunzi Bora, labda kawa mwanafunzi Bora kwa vilazaMBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora watatu ambao ni wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) katika kozi ya Shahada ya Kwanza ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) mwaka 2020.
Hafla ya kukabidhiwa vyeti hivyo imefanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini Kampasi ya Dar es Salaam, jana Ijumaa, Novemba 20, 2020, na kuhudhuriwa na wanafunzi wahitimu wa kozi mbalimbali chuoni hapo, wanafunzi wanaoendelea na masomo, wahadhiri na wahadhiri wasaidizi na jumuiya ya chuo kikuu hicho.
Shigongo ambaye hajawahi kusoma elimu ya sekondari, alijiunga na chuo kikuu hicho kupitia mfumo wa mitihani ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) uitwao Recognition of Prior Learning (RPL) kutokana na kipaji cha mtu na mchango wake katika tasnia husika. Baada ya kufanya mitihani hiyo mwaka 2017 alifaulu vizuri kwa kupata Daraja A ndipo akapewa kibali na TCU cha kujiunga na masomo ya chuo kikuu.
Licha ya kwamba hajawahi kusoma kabisa elimu ya sekondari kama ambavyo amekuwa akisema waziwazi katika semina na mikutano yake mbalimbali pamoja na vitabu alivyoandika, alivyopata nafasi ya kusoma chuo kikuu, aliamua kusoma kwa bidii darasani na kufuata taratibu zote za chuo hicho huku akijipunguzia baadhi ya majukumu katika makampuni yake ili aweze kuapata muda wa kutosha kujisomea.
“Kwa kweli huwa sipendi kabisa kushindwa, nilipoingia darasani mwaka 2017 kulikuwa na ushindani mkubwa, sababu wenzangu walikuwa wamesoma sekondari mpaka kidato cha sita na wengine walikuwa wana diploma, hivyo nililazimika kusoma sana ili angalau niende nao sawa, lakini juhudi zangu zimezaa matunda kwani nimekuwa mwanafunzi bora baada ya kuhitimu.
“Nimekuwa hapa chuoni kwa miaka mitatu nikisoma, hawaamini kama mimi ni darasa la saba, sijawahi kusoma elimu ya sekondari wala sijui kabisa chochote kusuhu sekondari, lakini leo nina furaha kwamba baada ya masomo yangu nimekuwa mwanafunzi baora lakini pia mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania
“Niwambie wanafunzi wenzangu mliobaki hapa shuleni na vijana wengine kote nchini, amini kwamba unaweza kuwa chochote, kikubwa ni juhudi zako tu, usikate tamaa, fanya kile unachokiamini, jitume sana utakipata kile unachokipata,” amesema Shigongo baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi.
KONGOLE MWESHIMIWA ERICK SHIGONGO, AMA KWELI BORA KUWA NA AKILI KULIKO KUWA NA ELIMU UKAKOSA AKILI
Hizi mbwembwe hizi,hakuna kitu hapo,Wala sio ajabu,Mbunge Msukuma hakwenda shule,Diamond hakwenda shule,Mzee Bakheresa alikuwa anauza ice cream miaka ya 80,
Sasa maswala ya kwenda na benz,V8,Vogue,!what is the heck!!!hayo magari ya kawaida sana kitaa,
Kwanza Elimu aliyosoma ni nyepesi sana,angesoma uandisi wa mitambo,mechanical engineering,au civil,au umeme,Tena kwenye chuo Kama UD,au Udom,au DIT,tungesema yeees,
Kule south Africa,Kuna binti kapiga shahada ya Kwanza,ya pili(masters)mpaka PHD Tena ana miaka 30,kutoka bongo,hayo ndio Maajabu sio hizi Kiki,wajameni
Degree yenyewe ya Mass ComShigongo chuo anaenda na range rover.. siku nyingine V8, siku nyingine benz... yaani pale tumaini gari ya shigongo hupati shida kuigundua maana haifanani na zingine zote...
Walimu wa Tumaini na wafanyakazi wote wa chuo full shobo kwa shigongo .. kwa nini asiwe mwanafunzi bora?
Shigongo kuanzia ma lecture, wafanyakazi wa canteen, ma secretary mpaka wafagiaji wa chuo walikuwa wanamuheshimu sana..
Degree yenyewe ya Mass Com
I mean ni rahisi kuwa mwanafunzi bora kwa course hiyo.Utajiri wa shigongo umetokana na mass communication... ama hujui biashara iliyomtoa shigongo?
Sasa why asisomee anachofanya kitaa miaka kibao
I mean ni rahisi kuwa mwanafunzi bora kwa course hiyo.
Hizi mbwembwe hizi,hakuna kitu hapo,Wala sio ajabu,Mbunge Msukuma hakwenda shule,Diamond hakwenda shule,Mzee Bakheresa alikuwa anauza ice cream miaka ya 80,
Sasa maswala ya kwenda na benz,V8,Vogue,!what is the heck!!!hayo magari ya kawaida sana kitaa,
Kwanza Elimu aliyosoma ni nyepesi sana,angesoma uandisi wa mitambo,mechanical engineering,au civil,au umeme,Tena kwenye chuo Kama UD,au Udom,au DIT,tungesema yeees,
Kule south Africa,Kuna binti kapiga shahada ya Kwanza,ya pili(masters)mpaka PHD Tena ana miaka 30,kutoka bongo,hayo ndio Maajabu sio hizi Kiki,wajameni
Kwangu naona hapa kuna kitu hakisemwi. Hakuna Chuo Tanzania kitakudahili ukiwa na elimu ya darasa la 7 tena enzi hizi za uncle Magu. Ni kipi cha zaidi alifanya hadi akapata udahili hapo chuoni na udahili wake ukathibitishwa na TCU? Wanaojua watueleze.Mimi sijaelewa kwamba ameenda kuchukua degree akiwa na elimu ya darasa la saba?
Kwangu naona hapa kuna kitu hakisemwi. Hakuna Chuo Tanzania kitakudahili ukiwa na elimu ya darasa la 7 tena enzi hizi za uncle Magu. Ni kipi cha zaidi alifanya hadi akapata udahili hapo chuoni na udahili wake ukathibitishwa na TCU? Wanaojua watueleze.
Hahahahah hii ni ndoto yangu nikienda kusoma Masters, lazma niende kama shigongo. Siwezi kusoma Masters kimasikini 😂😂😂Chuoni anaenda na magari ya bei juu.. mpaka ma lecture wanayashangaa.. kasoma kibabe sana shigongo... yeye kila desa ama kitabu anapewa moja kwa moja haangaiki kutoa ma photocopy.. baadae anapewa bill tu na mwalimu.. analipia
Mmenikumbusha sijui ni mar SaananeUkiwa na title na pesa walimu wa chuo wanakuogopa... kuna watu wamesoma PHD part time na wamezipata muda mfupi kuliko wanaosoma full time na hawajawai kuonekana maaabara na thesis zao hazieleweki
We endelea kumpikia shemeji yako hapo kwa dadaMafanikio katika nn?