Erick shigongo ni kaka yetu ambaye ni mfano wa kuigwa, he emerged from the great dark na kubadilisha historia ya maisha yake kutoka kwenye umaskini uliokithiri hadi ukwasi; usijifananishe naye kabisa. Sasa nije kwenye post yako, hakuna nchi ambyo wafungwa kazi yao ni kulala tu. Mabarabara unayoyaona Tz mengi yamejengwa na wafungwa wa huko Ulaya, wanaletwa huku kama adhabu. Ni gharama sana kumtunza mfungwa ambaye haingizi chochote.
Pia mwacheni rais wetu airudishe nchi kwenye mstari. Moja ya waaaathirika wakubwa wa utawala huu ni mimi, I was paid leave allowances 4mil kila mwaka zimetolewa sasa nalipwa chini ya laki 4, nlikuwa nalipwa nyumba 200000/= kila mwezi nimeondolewa but still naona sijaonewa kabisa and I deserve this sababu walizotoa ni genuine. So rais wangu anaenda vizuri sana