Hata waarabu na wachina ni afadhali kuliko jiwe, angalau hao wengine wanatoa hukumu kwa sheria zao, hapa kwetu sheria ni jiwe anasema wafyatue matofali na kuwapiga mateke, hii mateke kaongeza yeye!Kuna majitu makatili kama wachina na wakorea au waarabu?
Haya mambo ya unafiki mkuu ndiyo yanayo angamiza nchi yetu, sasa MAMA TANZANIA ameamka walahi!
Raisi wenu alivyo (primitive) IPO Siku atasema wagonjwa na wanafunzi nao wafanyishwe kazi alafu kama kawa mtashangilia upuuziWafanyishwe kazi tu, hamna namna walahi!
Tena wakitoka watakuwa sio wavivu, Maana wamesha zoea kazi walahi
Tobaa...Sio kila kitu mpaka tuige
Yani nchi hii ingekua ni mwanamke ingekua kahaba
Hivi ni nani huwa anawapa hizi stori za uongo?mabarabara unayoyaona tz mengi yamejengwa na wafungwa wa huko ulaya, wanaletwa huku kama adhabu.
nchi za kiarabu na uchina hawana upuuzi wa kuonea kundi flani tu. hapa kwetu kuna mbunge alikamatwa na nyara za serikali je yuko wapi sasa ivi aya sawa kangi lugola alituhumiwa kuomba rushwa kesi ikafutwa kijanja janjaKauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
atajulia wapi muda wote anawaza shilawaduMbona wafungwa Tz wanafanya kazi? Wafungwa walikua wanakuja kufanya kazi mpaka kwa marehemu Kingunge.
Moshi wanalima Karanga. Na ukonga nilikuta wanafyatua matofali na utengenezaji samani.
Pengine raisi hajui na walio bize kubishana hapa hawajui pia.
Si vizuri kutetea uongo. Kuna mfungwa gani hapa TZ ambaye hafanyi kazi? Nenda magerezani angalia viwanda, mashambani angalia wanavyozalisha. Mfungwa wa TZ asiyefanya kazi yupo Isanga anasubiri kunyongwa otherwise kila mfungwa ana kazi. Yawezekana akina Sugu walipewa kazi ya kufundisha siasa au kuimba. Nayo kazi. Rais asitumie lugha mbaya kuonyesha kuwa wafungwa ni wa kuteswa tu. Ipo siku.Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
Ndio kwa mawazo ya jiwe kuwa unakuta mfungwa amehukumiwa kifo anakula tu badala ya kufanya kazi??hizi ni akili kweli?yaani duniani kote ulishawahi ona mfungwa wa namna hii akitoka hata nje?sembuse kwenda kulima!!ungejua hata mle ndani wanavyotunzwa ,lakini kwa kuwa akili zote sasa zinaongozwa namjiwe sawa!!wafungwa wanalima sana msiangalie magereza haya ya dar nenda ya wilayani huko!!Kauli yoyote atakayo inena JPM lazima kundi fulani lipinge tu, kwa kuwa hawana sera nyingine kama sio ya kukaa golini na kusubiri kauli! Pathetic walahi!
China na nchi za kiarabu huwa hawana mchezo kabisa!
Kwa akili za jiwe ndio umtoe mfungwa aliyehukumiwa kifo akafanye usafi kariakoo??hata huyo askari atakayekubali kubeba zigo hilo ni nani??mfano kazi za kusafisha takataka miji yote ingefanywa na wafungwa
Wee fala kweli kweli..Erick shigongo ni kaka yetu ambaye ni mfano wa kuigwa, he emerged from the great dark na kubadilisha historia ya maisha yake kutoka kwenye umaskini uliokithiri hadi ukwasi; usijifananishe naye kabisa. Sasa nije kwenye post yako, hakuna nchi ambyo wafungwa kazi yao ni kulala tu. Mabarabara unayoyaona Tz mengi yamejengwa na wafungwa wa huko Ulaya, wanaletwa huku kama adhabu. Ni gharama sana kumtunza mfungwa ambaye haingizi chochote.
Pia mwacheni rais wetu airudishe nchi kwenye mstari. Moja ya waaaathirika wakubwa wa utawala huu ni mimi, I was paid leave allowances 4mil kila mwaka zimetolewa sasa nalipwa chini ya laki 4, nlikuwa nalipwa nyumba 200000/= kila mwezi nimeondolewa but still naona sijaonewa kabisa and I deserve this sababu walizotoa ni genuine. So rais wangu anaenda vizuri sana
Wewe unatakaje hasa....!Eti mabara bara ya tz yamejengwa Na wafungwa wa ulaya ....
Inawezekana, watu walikuwa hawajui haki zao (HR na wahasibu wengine walikuwa wanakubania haki na wewe kwa sababu hufatilii haki hizo inakula kwako), na ama wengine walikuwa wana'pora' fedha wanazoaminiwa kuendesha 'miradi' kwa fujo kiasi hawajui haki zao ni nini!Peleka uongo wako...
Kalila m,ashamba hapo kati yalisimamaa sasa ndo wameanzakwani tanzania wafungwa hawafanyi kazi, nimeshuhudia kwa macho yangu wafungwa wakilima mpunga katavi gereza la kalilankulukulu tena heka za kutosha
yaani ww unaamini kuambiwa wafungwa wanaishi kwa raha kama sheratoni, wanapigika kule si mchezo
kati miaka ipi mkuu maana mi kila mwaka nakatisha pale kipindi cha kilimo nna mashamba ikaka kona kule.Kalila m,ashamba hapo kati yalisimamaa sasa ndo wameanza
Una Akili sana. Haiwezekani leave allowance iwe 4m afu house allowance iwe 200k. Tatizo lao wanapenda hesabu ila hawajawahi kuzifahamuJini Kisiranii
Ni mfanyakazi wa kwanza duniani asiyefahamu nini maana ya paid leave allowance let alone house allowance!
Back in the days shafanya sana as Online Freelancer! Mara nyingi kila nilipopata mkataba unaozidi mwaka mmoja; one of the benefits ilikuwa ni paid leave. Hiyo ni freelancing; virtual working, maarufu kama online jobs; Employer/Client humjui, hakujui... no physical interaction; seuze desk job!!
Kwanza unaonekana muongo! Huwezi kuwa unalipwa paid leave Sh. 4M halafu stahiki yako ya house allowance iwe Sh. 200K.
Laki 2 ni gharama ya chumba kimoja (self) tu Uswahilini wakati kwa serikalini anayefikia kulipwa 4M ni boss kwelikweli ambae there's no way anaweza kulipwa house allowance ya kumwezesha kuishi Uswahilini, tena kwenye chumba kimoja!!
Peleka uongo wako Lumumba mtu usiyefahamu hata uwiano kati ya paid leave allowance na house allowance!!