Eric Shigongo ni nani?

Mimi magazeti yake nimeyasoma sana tu hadi nikajuaga na ratiba yake lini yanakuwa yanatoka,
Jumatatu- kiu ya jibu sio lake, ijuma wikienda
Jumanne- Uwazi
Jumatano- Risasi mchangayiko yalikuwa tofauti mawili moja lingine lilikuwa linatoka jumamosi
Alhamisi - Amani
Ijumaa- ijumaa

Nilikuwa noma sana hii yote namshukuru sana Mom Love u so much😞😥 R.i.p🙏
 
Back
Top Bottom