equal right | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

equal right

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by nameless girl, Aug 1, 2012.

 1. nameless girl

  nameless girl JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 3,905
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  kuna equal right katika katiba ya Tanzania (1977 art 13) kwa wananchi wote lakini still classes zinatamba, mwalimu na mbunge are not equal vivyo hivo daktari na msanii. napata jibu kuwa sheria zetu zipo kwenye kitabu tu
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Hakuna usawa wa aina hiyo popote duniani. Hata Vatican Papa si sawa na buruda. Usawa unaosemwa ndani ya Katiba ni usawa mbele ya sheria, kupata mahitaji ya msingi, uhuru wa kuabudu na kupata taarifa, n.k. Hata hivyo navyo vinategemea fursa zilizopo na kila mtu anavyozitumia fursa hizo. Serikali inao wajibu kwa kiasi fulani kuhakikisha kuwa haki za msingi zinapatikana lakini yenyewe pekee haiwezi. Lazima mtu binafsi naye ajitume na kupigania haki zake na usawa.
   
Loading...