Full maujanja njia za kuepeka usumbufu wa simu jaribu sasa

roseric

Member
Apr 21, 2012
34
18
[h=3]FULL MAUJANJA NJIA ZA KUEPEKA USUMBUFU WA SIMU JARIBU SASA[/h]

Kama hutaki usumbufu pia unaweza ku forward simu zote na ukapata sms pindi mtu akikupigia *21#0754125125#ok hii ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok. Ukitaka kutoa ##002#ok.
Sim itakua haipatikani pindi mtu atakapo kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia kwa mda huo huo. ACHA COMMMET YAKO MUHIMU...
 
Mkuu, nimebadilisha aina ya simu ndiyo nimepata kusoma maujanja uliyotuma, baadhi ya simu zinafungua ujumbe nusu.
 
FULL MAUJANJA NJIA
ZA KUEPEKA USUMBUFU
WA SIMU JARIBU SASA Kama hutaki usumbufu
pia unaweza ku forward
simu zote na ukapata sms
pindi mtu akikupigia
*21#0754125125#ok hii
ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok.
Ukitaka kutoa
##002#ok.
Sim itakua haipatikani
pindi mtu atakapo
kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia
kwa mda huo huo. ACHA
COMMMET YAKO MUHIMU...
roseric maandishi hayaonekani,jaribu kuyabold yote,au badili rangi. Mi nimefanikiwa kuyaona baada ya kujaribu kuyacopy. Vipi na Airtel inakuwaje,inawezekana?
 
Last edited by a moderator:
Mbona sion kitu mkuu.
hichi ndo alicho andika

"Kama hutaki usumbufu pia unaweza ku forward simu zote na ukapata sms pindi mtu akikupigia *21#0754125125#ok hii ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok. Ukitaka kutoa ##002#ok.
Sim itakua haipatikani pindi mtu atakapo kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia kwa mda huo huo. ACHA COMMMET YAKO MUHIMU..."

Mkuu binafsi nashukuru kwa kuleta hayo mautundu, vipi sms watakazoleta hawakukati salio?
 
Nashukuru kwa maujanja mkuu, ila ninaomba ufafanuzi kwa wanaoelewa, ile huduma ya call barring nimekua nikiitumia kwa muda, ila kwa siku za hivi karibuni nikitaka kui~activate inagoma, naweza kufanyaje next?
 
FULL MAUJANJA NJIA ZA KUEPEKA USUMBUFU WA SIMU JARIBU SASA

Kama hutaki usumbufu pia unaweza ku forward simu zote na ukapata sms pindi mtu akikupigia *21#0754125125#ok hii ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok. Ukitaka kutoa ##002#ok.
Sim itakua haipatikani pindi mtu atakapo kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia kwa mda huo huo. ACHA COMMMET YAKO MUHIMU...

Mkuu tunashukuru ila next time, jaribu kubadili aina ya rngi uiyotumia unajua haionekani kabisa mpaka u-highlight ndio unagundua kuna maandishi, ni hayo tu otherwise thanks a lot.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom