Epuka sukari kwa matumizi ya ndimu au limao kwenye chai, ukizoea huachi ni tamu sana

jitahidi unywe kias kidogo cha soda ukishindwa kuacha kabsa, pia nimewah sikia mahara fulani kuwa tunashauriwa kunywa maji ya kutosha kila baada ya kunywa soda, sana sana carbonated drinks. hiyo ni kwa hidani ya madaktari kutoka marekani
Mahara = mahala
 
Kwenye issue ya Sukari vipi Wine na Whisky zina Sukari kubwa?Sukari ni noma kwa sasa
 
Vipi kwenye chai nikiweka limau kidogo na sukari kidogo sana, kuna shida yoyote?
 
Back
Top Bottom