Nmedate wasomi feminist PhD wenye hela zao na hawa diploma unao suggest. Mm pia n msomi saaanaa. Nachoweza kusema ni hiki
- wasomi n wazuri sana kwenye mipango ya maisha na mkipanga hakika anataka mipango itimie. Apa naongelea kuongeza kipato, investment, kufanya biashara. Na apa lazma utampenda tu maana wanajua sana kuziona fursa na wana guts pia za kuamin vitu n possible. Pia kama mpo kwenye public events utaonekana umeoa chuma sana hata kama yy kila siku ni madudu. Na pia kama mna watoto, atahakikisha wanasoma shule nzuri, wanakua exposed na wanakula bata kadri ya maono yake.
Ubaya wao ni kua sana much know ambayo its a turn off kwetu sisi wanaume. Yaan issue ndogo mnaweza iongelea for hrs na bado msifike mwisho. Na pia mkizinguana mnazinguana kweli kweli maana anakuja na points za kutosha as why yuko right na ww wrong. Na anajua wapi pa kwenda kupata washauri wazuri. Na hii ndo sababu divorce za ambazo mwanamke n msomi huwa zinasumbua sana.
Ubaya mwingine, weng sio wavumilivu hasa pale mwanaume ukiyumba kiuchumi sabab washazoea kuzungukwa na watu kama wao au wanaofanana na wao na wanakutana na wanaume smart au wenye hela na wasomi kama yy kila leo. Kwa kio ukiyumba tu hua countdown imeanza unalekea kuachwa especially kama hueleweki. Na apa utaona dharau zake.
- Hawa diploma na wengine n wazuri, wapo submissive, wavumilivu, hawana makuu na ni waelewa na for most part walisharidhika na maisha ya kawaida hivyo wana mda mwingi wa kumuhudumia mume na kufocus issue za familia na wanaujua wajibu wao kama mchumba/mke. Kifupi hawana mawenge.
Ubaya wao n kua hata akikushauri n kawaida sana sababu hawapo exposed na hawajui vitu vingi so unaweza usifike mbali sana. Pia hawapo ambitious maana wanaridhika mapema lakin kwa ss wanaume umri unavyokwenda ndio unahitaji hela nyingi zaidi kwenye kipato. Pia hawa kama ww umesoma na n mtu wa kujimix na wasomi wenzqko kwenye family events hawa huwa wana inferiority complex na io sio poa kama mwenza. Pia kama mna watoto vitu kama kuwa expose na sehem au vitu vizuri io ni ya kwako ww baba sio yy ambayo pia inaweza kurudisha nyuma maendeleo yenu kama family Unit.
NB: Life is about choices, whatever spouse you choose hakikisha n umemchagua toka moyoni. Hakuna aliye mkamilifu ila na maisha yetu hayafanani na hatutaki vitu sawa. Yoyote utakayechagua hakikisha umeamua kuridhika nae kwa vile alivo au mtengeneze awe vile we unataka awe ila usilaumu mtoto wa watu kua na feminist wakat uliliona toka mwanzo ukidhan ukimuoa ataswitch.
Lastly, I stand to be corrected, mambo ya jamii huwa n magumu sana. Huu n mtazamo binafsi na sio objective truth.