Epuka kuoa Feminist

Epuka kuoa Feminist

Kuna Video nimeiona kwenye mitandao ya WhatsApp, Balozi mstaafu sijui wa Comoro kasepa na fanicha zake Mke kabaki analalama huku anarekod na kuelezea hadi marupurupu ya ubalozi wa Mumewe,kumbe kuna fungu hadi la kula Bata .na marafiki Mabalozi huwa wanapewa!!!
Iko wapi nikaicheki mkuu?
 
Si ulitaka mwenye elimu pambana kama umezaa nae ndo basi tena ..Kila siku utaenda kuripot ustawi wa jamii
Lakini jamani ebu tupeane mbinu za kuwadhibiti kisawasawa hawa wasomi wetu kutoka jikoni,kuliko kuwakimbia!tutakimbia wangapi sasa Jamani!!??
 
Ukio mwanamke ambaye bado yupo kweny mishemishe na anapenda mambo ya harakati tambua akili yake bado haijatulia.

Yaani bado anatafuta ipo siku atapata mwingine tu
 
Hii ni picha kutoka maktaba?? Maana sidhani kama kuna wanawake wa aina hii kwa kizazi cha leo
Bado wapo mkuu,
Sema Ni adimu sana
Nakushuhudia MKE wangu mmojawapo
 
Nmedate wasomi feminist PhD wenye hela zao na hawa diploma unao suggest. Mm pia n msomi saaanaa. Nachoweza kusema ni hiki

- wasomi n wazuri sana kwenye mipango ya maisha na mkipanga hakika anataka mipango itimie. Apa naongelea kuongeza kipato, investment, kufanya biashara. Na apa lazma utampenda tu maana wanajua sana kuziona fursa na wana guts pia za kuamin vitu n possible. Pia kama mpo kwenye public events utaonekana umeoa chuma sana hata kama yy kila siku ni madudu. Na pia kama mna watoto, atahakikisha wanasoma shule nzuri, wanakua exposed na wanakula bata kadri ya maono yake.

Ubaya wao ni kua sana much know ambayo its a turn off kwetu sisi wanaume. Yaan issue ndogo mnaweza iongelea for hrs na bado msifike mwisho. Na pia mkizinguana mnazinguana kweli kweli maana anakuja na points za kutosha as why yuko right na ww wrong. Na anajua wapi pa kwenda kupata washauri wazuri. Na hii ndo sababu divorce za ambazo mwanamke n msomi huwa zinasumbua sana.

Ubaya mwingine, weng sio wavumilivu hasa pale mwanaume ukiyumba kiuchumi sabab washazoea kuzungukwa na watu kama wao au wanaofanana na wao na wanakutana na wanaume smart au wenye hela na wasomi kama yy kila leo. Kwa kio ukiyumba tu hua countdown imeanza unalekea kuachwa especially kama hueleweki. Na apa utaona dharau zake.

- Hawa diploma na wengine n wazuri, wapo submissive, wavumilivu, hawana makuu na ni waelewa na for most part walisharidhika na maisha ya kawaida hivyo wana mda mwingi wa kumuhudumia mume na kufocus issue za familia na wanaujua wajibu wao kama mchumba/mke. Kifupi hawana mawenge.

Ubaya wao n kua hata akikushauri n kawaida sana sababu hawapo exposed na hawajui vitu vingi so unaweza usifike mbali sana. Pia hawapo ambitious maana wanaridhika mapema lakin kwa ss wanaume umri unavyokwenda ndio unahitaji hela nyingi zaidi kwenye kipato. Pia hawa kama ww umesoma na n mtu wa kujimix na wasomi wenzqko kwenye family events hawa huwa wana inferiority complex na io sio poa kama mwenza. Pia kama mna watoto vitu kama kuwa expose na sehem au vitu vizuri io ni ya kwako ww baba sio yy ambayo pia inaweza kurudisha nyuma maendeleo yenu kama family Unit.

NB: Life is about choices, whatever spouse you choose hakikisha n umemchagua toka moyoni. Hakuna aliye mkamilifu ila na maisha yetu hayafanani na hatutaki vitu sawa. Yoyote utakayechagua hakikisha umeamua kuridhika nae kwa vile alivo au mtengeneze awe vile we unataka awe ila usilaumu mtoto wa watu kua na feminist wakat uliliona toka mwanzo ukidhan ukimuoa ataswitch.

Lastly, I stand to be corrected, mambo ya jamii huwa n magumu sana. Huu n mtazamo binafsi na sio objective truth.
 
Binafsi mimi nikimuona kijana anaowa mwanamke aliyepita chuo huwa namsikitikia sana,hata tunaowasoma wakisema maisha ni simple ktk ndoa zao huwa wanajifariji tu ipo namna wanabanwa kiasi unakuta vijana wadogo vichwa vimejaa mvi kwa stress.

Ni kawaida kukuta mume kuwahi nyumbani kupika mke akiwa kazini,asubuhi badala mume awahi kazini anaenda yeye stand na watoto kungoja school bus,mke kukaa kwenye sofer ndani na lap top madai anamalizia kazi za ofisini huku mume akisafisha watoto mavi huko nje ukiuliza ana-offer nini ndani ya familia baada ya haya unaambiwa huwa haniombi hela ya salon wala ya nguo!

Kijana umesoma ila akili huna,yani kuogopa kuombwa hela ya salon ndiyo ugeuke house boy ndani ya himaya yako?hapo sijazungumzia bado kunyimwa unyumba kwa sababu mke amechoka.
 
Feminist kula mzgo endelea na mambo yako ila ukisema ugandane nae ni pasua kichwa hao,,,,,hao ni wa kumega kisela bas ndo maana wengi wanakuaga ma single maza
 
Nmedate wasomi feminist PhD wenye hela zao na hawa diploma unao suggest. Mm pia n msomi saaanaa. Nachoweza kusema ni hiki

- wasomi n wazuri sana kwenye mipango ya maisha na mkipanga hakika anataka mipango itimie. Apa naongelea kuongeza kipato, investment, kufanya biashara. Na apa lazma utampenda tu maana wanajua sana kuziona fursa na wana guts pia za kuamin vitu n possible. Pia kama mpo kwenye public events utaonekana umeoa chuma sana hata kama yy kila siku ni madudu. Na pia kama mna watoto, atahakikisha wanasoma shule nzuri, wanakua exposed na wanakula bata kadri ya maono yake.

Ubaya wao ni kua sana much know ambayo its a turn off kwetu sisi wanaume. Yaan issue ndogo mnaweza iongelea for hrs na bado msifike mwisho. Na pia mkizinguana mnazinguana kweli kweli maana anakuja na points za kutosha as why yuko right na ww wrong. Na anajua wapi pa kwenda kupata washauri wazuri. Na hii ndo sababu divorce za ambazo mwanamke n msomi huwa zinasumbua sana.

Ubaya mwingine, weng sio wavumilivu hasa pale mwanaume ukiyumba kiuchumi sabab washazoea kuzungukwa na watu kama wao au wanaofanana na wao na wanakutana na wanaume smart au wenye hela na wasomi kama yy kila leo. Kwa kio ukiyumba tu hua countdown imeanza unalekea kuachwa especially kama hueleweki. Na apa utaona dharau zake.

- Hawa diploma na wengine n wazuri, wapo submissive, wavumilivu, hawana makuu na ni waelewa na for most part walisharidhika na maisha ya kawaida hivyo wana mda mwingi wa kumuhudumia mume na kufocus issue za familia na wanaujua wajibu wao kama mchumba/mke. Kifupi hawana mawenge.

Ubaya wao n kua hata akikushauri n kawaida sana sababu hawapo exposed na hawajui vitu vingi so unaweza usifike mbali sana. Pia hawapo ambitious maana wanaridhika mapema lakin kwa ss wanaume umri unavyokwenda ndio unahitaji hela nyingi zaidi kwenye kipato. Pia hawa kama ww umesoma na n mtu wa kujimix na wasomi wenzqko kwenye family events hawa huwa wana inferiority complex na io sio poa kama mwenza. Pia kama mna watoto vitu kama kuwa expose na sehem au vitu vizuri io ni ya kwako ww baba sio yy ambayo pia inaweza kurudisha nyuma maendeleo yenu kama family Unit.

NB: Life is about choices, whatever spouse you choose hakikisha n umemchagua toka moyoni. Hakuna aliye mkamilifu ila na maisha yetu hayafanani na hatutaki vitu sawa. Yoyote utakayechagua hakikisha umeamua kuridhika nae kwa vile alivo au mtengeneze awe vile we unataka awe ila usilaumu mtoto wa watu kua na feminist wakat uliliona toka mwanzo ukidhan ukimuoa ataswitch.

Lastly, I stand to be corrected, mambo ya jamii huwa n magumu sana. Huu n mtazamo binafsi na sio objective truth.
Kuishi na mwanamke much know Ni upuuzi, haitegemei Ni mshaur mzur Kia's gan
 
Bado wapo mkuu,
Sema Ni adimu sana
Nakushuhudia MKE wangu mmojawapo
Hata Dorothy Gwajima kuna video moja kipindi kile cha mbwembwe za Corona nukimuona akimpigia Magoti Mumewe,so sijui ilikua kwa tv program au ni wao kama wao na nature yao!!??
 
Nmedate wasomi feminist PhD wenye hela zao na hawa diploma unao suggest. Mm pia n msomi saaanaa. Nachoweza kusema ni hiki

- wasomi n wazuri sana kwenye mipango ya maisha na mkipanga hakika anataka mipango itimie. Apa naongelea kuongeza kipato, investment, kufanya biashara. Na apa lazma utampenda tu maana wanajua sana kuziona fursa na wana guts pia za kuamin vitu n possible. Pia kama mpo kwenye public events utaonekana umeoa chuma sana hata kama yy kila siku ni madudu. Na pia kama mna watoto, atahakikisha wanasoma shule nzuri, wanakua exposed na wanakula bata kadri ya maono yake.

Ubaya wao ni kua sana much know ambayo its a turn off kwetu sisi wanaume. Yaan issue ndogo mnaweza iongelea for hrs na bado msifike mwisho. Na pia mkizinguana mnazinguana kweli kweli maana anakuja na points za kutosha as why yuko right na ww wrong. Na anajua wapi pa kwenda kupata washauri wazuri. Na hii ndo sababu divorce za ambazo mwanamke n msomi huwa zinasumbua sana.

Ubaya mwingine, weng sio wavumilivu hasa pale mwanaume ukiyumba kiuchumi sabab washazoea kuzungukwa na watu kama wao au wanaofanana na wao na wanakutana na wanaume smart au wenye hela na wasomi kama yy kila leo. Kwa kio ukiyumba tu hua countdown imeanza unalekea kuachwa especially kama hueleweki. Na apa utaona dharau zake.

- Hawa diploma na wengine n wazuri, wapo submissive, wavumilivu, hawana makuu na ni waelewa na for most part walisharidhika na maisha ya kawaida hivyo wana mda mwingi wa kumuhudumia mume na kufocus issue za familia na wanaujua wajibu wao kama mchumba/mke. Kifupi hawana mawenge.

Ubaya wao n kua hata akikushauri n kawaida sana sababu hawapo exposed na hawajui vitu vingi so unaweza usifike mbali sana. Pia hawapo ambitious maana wanaridhika mapema lakin kwa ss wanaume umri unavyokwenda ndio unahitaji hela nyingi zaidi kwenye kipato. Pia hawa kama ww umesoma na n mtu wa kujimix na wasomi wenzqko kwenye family events hawa huwa wana inferiority complex na io sio poa kama mwenza. Pia kama mna watoto vitu kama kuwa expose na sehem au vitu vizuri io ni ya kwako ww baba sio yy ambayo pia inaweza kurudisha nyuma maendeleo yenu kama family Unit.

NB: Life is about choices, whatever spouse you choose hakikisha n umemchagua toka moyoni. Hakuna aliye mkamilifu ila na maisha yetu hayafanani na hatutaki vitu sawa. Yoyote utakayechagua hakikisha umeamua kuridhika nae kwa vile alivo au mtengeneze awe vile we unataka awe ila usilaumu mtoto wa watu kua na feminist wakat uliliona toka mwanzo ukidhan ukimuoa ataswitch.

Lastly, I stand to be corrected, mambo ya jamii huwa n magumu sana. Huu n mtazamo binafsi na sio objective truth.
Baba angu mdogo alioa mwanamke hata darasa la Saba sijui kama kafika ,alishauri kweny biashara ila sasa ni matajiri wakubwa.

Kaka yangu mwingi (ila sio wa kuzaliwa tumbo moja) nae alioa mwanamke ambaye shule hamna kitu ni la Saba hata sekondari hajagusa ila ndo kamshauri kwa sasa ni wafanyabiashara wakubwa na huyo mke ndo ana mshauri watoto wakasome shule nzuri na wapate elimu hataki mchezo na elimu ila yeye hata kuandika hajui..Wana biashara kubwa za maana na nyumba tatu ni mwaka wa 20 huu wapo pamoja.

Moral; Hakuna assurance moja kwa moja kwamba wasomi ndo wanajua biashara na biashara za ujasiriliamali sio thinkers ni doers ndo wanafanikiwa kama wasomi wengi walishaandika business proposal ila sio wote wanamudu kufanya biashara....Ukitaka kujua biashara sio kwa aliyesome business administration nenda pale kariakoo kajifunze kwa wanaouza bidhaa..

Wasomi wapo too theoretically ndo maana hamna business zinafanikiwa wengi wanakuwa na ideas nyingi na matarajio ila hamna kitu ...Biashara sio kirahisi kama unavyofikiria usione mtu ana duka kubwa ukafikiria anapata wateja game ni ngumu zaidi ujuavyo.

Ushauri kutoka kwa mwenza unategemea na mazingira , ukimtumia mwanamke vizuri anaweza kuwa msaada sana awe na elimu yeyote ile
 
Tukubali au tusikubali,Salon za wamama zimeharibu wanawake wengi sana.Wako wachache ambao wakienda mle wanayaacha humo humo wanayokutana nayo, lakini wengi huwa wanayabeba na kuya practise kwenye nyumba zao,hapo ndio kimbembe kinapoanzia...
 
Ni chukizooooooooooooooo.No submission.No respect in the house.

Mwanamke anaongea kama cherehani hatulii hataki kugusa kazi yoyote ndani ya nyumba yeye ni kama mwanaume .Ananuna nuna tu nonsense bastard.Mvivu.

Wanaume kataeni ndoa Hawa wanawake wa sahivi hawaeleweki na hawajitambui pia.
Kwani hizo ni sifa za feminist?
 
Nmedate wasomi feminist PhD wenye hela zao na hawa diploma unao suggest. Mm pia n msomi saaanaa. Nachoweza kusema ni hiki

- wasomi n wazuri sana kwenye mipango ya maisha na mkipanga hakika anataka mipango itimie. Apa naongelea kuongeza kipato, investment, kufanya biashara. Na apa lazma utampenda tu maana wanajua sana kuziona fursa na wana guts pia za kuamin vitu n possible. Pia kama mpo kwenye public events utaonekana umeoa chuma sana hata kama yy kila siku ni madudu. Na pia kama mna watoto, atahakikisha wanasoma shule nzuri, wanakua exposed na wanakula bata kadri ya maono yake.

Ubaya wao ni kua sana much know ambayo its a turn off kwetu sisi wanaume. Yaan issue ndogo mnaweza iongelea for hrs na bado msifike mwisho. Na pia mkizinguana mnazinguana kweli kweli maana anakuja na points za kutosha as why yuko right na ww wrong. Na anajua wapi pa kwenda kupata washauri wazuri. Na hii ndo sababu divorce za ambazo mwanamke n msomi huwa zinasumbua sana.

Ubaya mwingine, weng sio wavumilivu hasa pale mwanaume ukiyumba kiuchumi sabab washazoea kuzungukwa na watu kama wao au wanaofanana na wao na wanakutana na wanaume smart au wenye hela na wasomi kama yy kila leo. Kwa kio ukiyumba tu hua countdown imeanza unalekea kuachwa especially kama hueleweki. Na apa utaona dharau zake.

- Hawa diploma na wengine n wazuri, wapo submissive, wavumilivu, hawana makuu na ni waelewa na for most part walisharidhika na maisha ya kawaida hivyo wana mda mwingi wa kumuhudumia mume na kufocus issue za familia na wanaujua wajibu wao kama mchumba/mke. Kifupi hawana mawenge.

Ubaya wao n kua hata akikushauri n kawaida sana sababu hawapo exposed na hawajui vitu vingi so unaweza usifike mbali sana. Pia hawapo ambitious maana wanaridhika mapema lakin kwa ss wanaume umri unavyokwenda ndio unahitaji hela nyingi zaidi kwenye kipato. Pia hawa kama ww umesoma na n mtu wa kujimix na wasomi wenzqko kwenye family events hawa huwa wana inferiority complex na io sio poa kama mwenza. Pia kama mna watoto vitu kama kuwa expose na sehem au vitu vizuri io ni ya kwako ww baba sio yy ambayo pia inaweza kurudisha nyuma maendeleo yenu kama family Unit.

NB: Life is about choices, whatever spouse you choose hakikisha n umemchagua toka moyoni. Hakuna aliye mkamilifu ila na maisha yetu hayafanani na hatutaki vitu sawa. Yoyote utakayechagua hakikisha umeamua kuridhika nae kwa vile alivo au mtengeneze awe vile we unataka awe ila usilaumu mtoto wa watu kua na feminist wakat uliliona toka mwanzo ukidhan ukimuoa ataswitch.

Lastly, I stand to be corrected, mambo ya jamii huwa n magumu sana. Huu n mtazamo binafsi na sio objective truth.
Nzuri!!!
Ila kama nimekusoma vizuri bandiko lako ni kama faida za kuia msomi ni ndogo kuliko hasara zake, Naamini mke ni wako binafsi si wa jamiii, haya mambo ta kuwa msomi ana shine vizuri kwenye public events na vitu kama hivyo , yana impact ndogo sana kuliko mitifuano ya kila siku ukiwa nyumbani au chumbani ,na huyo msomi
Lakini pia , jukumu la familia by default ni la mwanaume ,ukishaana kutaka kusaidiwa kwa namna yoyote ila na mwanamke wako ,jua unaan,a kupoteza pambano, ,
Chances za mkeo kuchangia nusu ya mahitahi ya familia ni ndogo mno .
 
Binafsi mimi nikimuona kijana anaowa mwanamke aliyepita chuo huwa namsikitikia sana,hata tunaowasoma wakisema maisha ni simple ktk ndoa zao huwa wanajifariji tu ipo namna wanabanwa kiasi unakuta vijana wadogo vichwa vimejaa mvi kwa stress.

Mume kuwahi nyumbani kupika mke akiwa kazini,asubuhi badala mume awahi kazini anaenda yeye stand na watoto kungoja school bus,mke kukaa kwenye sofer ndani na lap top madai anamalizia kazi za ofisini huku mume akisafisha watoto mavi huko nje ukiuliza ana-offer nini ndani ya familia baada ya haya unaambiwa huwa haniombi hela ya salon wala ya nguo!

Kijana umesoma ila akili huna,yani kuogopa kuombwa hela ya salon ndiyo ugeuke house boy ndani ya himaya yako?hapo sijazungumzia bado kunyimwa unyumba kwa sababu mke amechoka.
Dawa ndogo, naenda tafuta pisi kali ya kimburu nakuja iweka iwe beki tatu. Nainunulia vipodozi vya bei na nguo za kisista duu yaani wageni wakija nyumbani yeye wanamwambia habari auntie halafu house girl anasalimiwa Mambo Wifi, umependezaaaaa!

Dawa ya mwanamke kiburi au jeuri ni kumtafuta mwanamke mwenzake mzuri ambaye ana mvuto balaa. Na kumleta mazingira yake halafu yeye ataamua aidha kushindana nae au kujifunza kurekebika. Akiondoka achana nae usimuulize chochote. Endelea kulea watoto na beki tatu na endelea kumpa care akikolea akataka kuchukua nafasi unamwambia sawa nimpe muda nitafakari nitakupa jibu.

Huyu mwanamke ikipita miezi 6 hajafanya utaratibu wa kutubu na kujirekebisha mtwange talaka oa beki tatu pisi kali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom