Epuka kufanya mapenzi bafuni au chooni

Epuka kufanya mapenzi bafuni au chooni

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Habari msomaji wa uzi huu.

Ni siku nyingine tena tumekutana jamvini.

Twende kwenye mada...

Watu wengi hupendelea kufanya mapenzi wakiwa bafuni au chooni wakiwa wanaoga, asilimia kubwa wanaofanya hivo ni vijana.

Kuna hatari kubwa unaweza kupata ukifanya mapenzi bafuni ama chooni. Bafu na choo si sehemu pazuri pia si mahala salama, huko kuna viumbe wasionekana kwa macho ya binadamu.

Hivyo ukifanya mapenzi huko kuna uwezekano 100% viumbe hao wakakuingia mwilini na kusabibisha mambo mabaya juu yako, yakiwemo kuingiliwa kimwili ndotoni usiku unapokuwa umelaa.

Kuwa na tamaa ya ngono, kupungua nguvu za kiume, kama u mjamzito mimba kuharibika, ndoa/mahusiano kuvunjika, kutojisikia raha/hamu ya kufanya mapenzi. Hivyo ni hatari kufanya mapenzi bafuni au chooni.

Pamoja na hivo kama unatumia bafu/choo cha ndani na unapenda kusex huko kabla hamjafanya mapenzi fanya hivi; Chukua chumvi mwaga kidogo mlangoni mwa bafu au choo mtakuwa salama.


 
  • Thanks
Reactions: MC7
Bakteria waliopo chooni ni 1000 times less ya wale walio mezani.
 
Ni uongo kabisa. Acha watu wapate raha jaman
 
Ninachofahamu ni kwamba:
1. Chumvi ni dawa ya kufukuza mambo ya giza yasikudhuru, kwani hata baadhi ya maaskofu/wachungaji huwa wanashauri kwamba mbali na maji ya baraka, pia kumwaga chumvi kuzungukia kitanda chako kabla ya kulala ni jambo jema.
2. Inasemekana kwamba katika nyumba, "mambo ya giza" hupendelea sana kukaa bafuni/chooni.

Nimetumia neno "mambo ya giza" kumaanisha yale yale anayojadili mtoa mada.

Vinginevyo tumweke mungu mbele, yeye ndiye mlinzi wetu wa ukweli na uhakika.
 
Back
Top Bottom