Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,300
- 1,495
Swala la ndoa ni swala nyeti sana.
Watu wanataka kuingia kwenye Ndoa na Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka kwenye ndoa.
Ndoa uwa ni chungu na inawashinda wengi kutoka na maswala ya migororo,uchumi nk...inachangia sana Wengi kushindwa kuendesha ndoa.
Na mambo amabyo yanasababisha ndoa nyingi kuvunjika,katika utafiti wangu nimegundua kwamba ni mambo ya kuepukika.
Uboresha Ndoa yako kwa kufanya haya.
1.EPUKA KUISHI NA MDADA/MKAKA WA KAZI.
Hii imekuwa kama utamaduni kwenye ndoa za kitanzania kuwa mtu akipata ajira au akiwa na vicent anakimbilia kumtafuta mdada/mkaka wa kazi,ili kumasidia majukumu ya nyumbani na wengne wanaenda mbali kabisa wadada wa kazi ndio wamekuwa wanafua mpaka nguo za ndani za mmewe.
Kufanya hivyo Kumbuka kuwa unaishi na mke mwenza.(rangi nyeupe hawana utamaduni wa kuweka wadada wa kazi licha ya kuwa busy na maisha).kila kitu na ratiba tu.ngozi nyeusi inafel sana hapo.
2.KUISHI NA NDUGU.
Ikiwa umeoa au kuolewa,jaribu kujitenga na ndugu zako kuishi nao gate moja,mume au mke ukosa ujasiri wa kufanya vitu vngne kwa kuwaonea aibu ndugu zako.
Ikiwa unaishi na ndugu zako husitegemee ndoa yako kuwa salama maana jua kuna mashemeji,mawifi,shangazi nk..uchangia sana kuaribu ndoa na kila mtu hakosi la kusema juu ya mume/mke wako.kuna mambo madogo ya kuyamaliza ndani nyinyi wawaili lakim ndugu mtu wanayakusa na kuwa gumza ndoa kukosa amaini na ndoa nyingi uvunjika kwa sababu hii.
3.SIMU
Kuna ndoa siku hizi wanawekeana masharti ya kila mmoja kutoshika simu ya mwenzie au moja kati yao hataki mwenzie kushika simu yake,
Epuka kufanya hvyo kwenye ndoa yako mpe uhuru mke/mme wako kushika simu yako pale anapoitaji na usiwe mbishi katika swala hilo maana upunguza sana imana kwa mwezio endapo utamuwekea masharti ya kushika simu yako,ndoa ya aina hii uwa hakuna uaminifu na ndoa bila uhamifu bas uvunjika.
4.MARAFIKI
kaa chonjo na marafiki wanafki wa mme/mke wako,marafiki hawa ni hatari sana kwa Ndoa.......
ITAENDELEA...........