Mbona mna ninanga sana hii wiki 😂Na mwanaume usijue kupika saaaana🤔
Mnatufirisi mpaka tynasahau kwetuMwachi unazingua, mbona pesa hujaiweka? Mwanaume asipompa pesa mwanamke nayo inaathiri mfumo wa ubongo..!!
Inatakiwa waepuke ubahili kwa wanawake, hebu ongeza hapo chini..!!
Kuhonga mkuu!kuchonga ndio nini?
Jua tuu, mbona mahotelini huko,wapishi wazuri ni wanaume!Mbona mna ninanga sana hii wiki 😂
Kuonja chumvi kwenye pishi usilopika sio vizuri me nitakubali kuosha hata vyombo🤣🤣🤣Chumvi unaonja wewe 😂
Mkuu leta pishi la wali wa korosho najua hushindwi💪Mbona mna ninanga sana hii wiki 😂
Jua tuu, mbona mahotelini huko,wapishi wazuri ni wanaume!
Mkuu leta pishi la wali wa korosho najua hushindwi💪
Mkuu mbona unashangaa hiyo namba au wewe uliwahi chamani ukabahatika kuingia 20 BoraHiyo namba ya nyeto noma!
Ahahah muonjaji wa chumvi ni weweKuonja chumvi kwenye pishi usilopika sio vizuri me nitakubali kuosha hata vyombo🤣🤣🤣
PoapoaLeo wali na tambi unazichanganya
Nikiona mtu anavuta namshangaaga Sanaa bora mvuta bangeePombe nimeweza, sigara mkuu,najuta kujifunza,yaani tabu!
umSijafahami mtoa maada ni Jinsia ya Ke au Me, ila tu nataka kukuambia achana na starehe za watu. Kila mtu ana starehe yao kuna hao watu wanapenda ngono, huwezi waambia wakakuelewa kuwa nhono ni mbaya ni hadi wapate mardhi, Kuna watu wanapenda sigara na wengine bhang na mengineyo. Kila mmoja na ulevi wake wewe inakupa shida nini?
Kuna watu mnashinda makanisani mnasali tu hamfanyi kazi mkiambiwa muache hiyo starehe mnayofanya mtakubali.? Kuna watu wanapenda kwenda kwa mparange na hao pia hiyo ni starehe yao waache kikibwa wasilete kero kwa wengine wasiotumia hayo.
Mzee wa watu ana kisukari na amemiss kufumua kitumbua nguvu zimekimbia unahisi afanye nini ? Ahangaike na upwiru na mbinu mbadala ipo ? Achana na hizo habari jikite na mambo yako Kiongozi.
🤣🤣🤣UtanitagAhahah muonjaji wa chumvi ni wewe
🤣🤣🤣Utanitag
Naenda kutafuta nyoka kwanza najua hautopata kiurahisi😎Usicheze mbali
Ukimp usisite kumletaNaenda kutafuta nyoka kwanza najua hautopata kiurahisi😎
oaNikiona mtu anavuta namshangaaga Sanaa bora mvuta bangee