Epstein alipomuua Khamenei

Epstein alipomuua Khamenei

View attachment 3550361
Kwa wanaojua kinachoendelea kuhusiana na kashfa ya ngono na uzinzi za Tramp hata Netanyahu, wanajua ni kwanini Marekani na Israel wanashambulia wenzao. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara ya mafaili ya Epsten dhidi yao. Je, vumbi likitua, atamshambulia nani na hii hadi lini wakati mafaili yenyewe yapo?
Screenshot_2026-03-01-22-03-58-085_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-15-37-06-576_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-14-50-52-654_com.android.chrome~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-14-10-52-451_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-14-11-03-165_com.twitter.android~2.jpg
 
Taaluma ipi? I doubt hata unajua chochote zaidi ya kujivunia vyeti tu. Nikikuuliza tu IRGC ni nini huelewi
Kwa uzwazwa wako unaona hiyo acronym ni big deal wakati hataka nisingekuwa naijua ningeigoogle na kukupa jibu? Kwani taaluma ya mtu unaipima kwa kutumia vigezo gani hadi uwe na shaka nami? Unajuaje kama hata hivyo vyeti sina au ninavyo? Kwani huyo Trump mnayemuabudia ana taaluma gani zaidi ya utapeli? Kwangu, Trump na Khamenei ni sawa. Wauane au wasiuane hainihusu kwa sana. Samuya alipoua watu wetu, wala wao hawakujali na kuhangaika kama tunavyojihangaisha na mambo yao.
 
KASOME HII MFIKE.MBINGIN YULE ASHAMALIZA KAZI YAKE DUNIAN
20 POWERFUL NEW MONTH PRAYER POINTS WITH SCRIPTURES
👇👇👇👇👇👇👇
1. Father, I cancel every battle that was following me from last month.
Nahum 1:9 — “…affliction shall not rise up the second time.”

2. Every delay and setback assigned to haunt me, expire tonight.
Isaiah 43:19 — “…I will do a new thing…”

3. I am covered by the blood of Jesus from every carry-over attack.
Exodus 12:13 — “…the plague shall not be upon you to destroy you.”

4. Every spiritual chain from the past month, break now.
Psalm 107:14 — “…he brought them out of darkness and the shadow of death, and brake their bands.”

5. I reject financial carry-over struggles into this month.
Deuteronomy 28:12 — “The LORD shall open unto thee his good treasure…”

6. No sickness or hidden attack shall follow me.
Psalm 91:11 — “For he shall give his angels charge over thee…”

7. Every evil manipulation from unseen forces, scatter now.
Job 5:12 — “He disappointeth the devices of the crafty…”

8. I step into my new month with favor and divine acceleration.
Revelation 3:8 — “…I have set before thee an open door…”

9. Every spiritual blockage in my life, be removed.
Isaiah 45:2 — “…I will break in pieces the gates of brass…”

10. I recover every lost or delayed blessing.
Joel 2:25 — “…I will restore to you the years…”

11. Any prophecy or word spoken against my new month is nullified.
Lamentations 3:37 — “Who is he that saith, and it cometh to pass…”

12. I reject sorrow, disappointment, and grief from last month.
John 16:22 — “…your joy no man taketh from you.”

13. Every enemy planning attacks, fail by fire.
Psalm 68:1 — “Let God arise, let his enemies be scattered…”

14. I command divine protection over my household.
Proverbs 3:33 — “…he blesseth the habitation of the just.”

15. Every evil trap set to repeat, be destroyed.
Psalm 124:7 — “Our soul is escaped as a bird out of the snare…”

16. I shall not carry over unfruitful efforts.
Deuteronomy 28:8 — “…he shall bless thee in all that thou settest thine hand unto.”

17. Every spirit of rising and falling ends now.
Psalm 75:6–7 — “…God is the judge; he putteth down one, and setteth up another.”

18. I receive clarity and divine strategy for this month.
Proverbs 3:5–6 — “…he shall direct thy paths.”

19. Every negative expectation over my life is canceled.
Job 22:28 — “…thou shalt also decree a thing, and it shall be established unto thee.”

20. I cross into this new month victorious, favored, and preserved.
Romans 8:37 — “…we are more than conquerors through him…”

DECLARE
No battle from the past shall follow me.
No delay shall define me.
No evil shall touch my life.
This month, I am preserved, elevated, and blessed beyond expectation.
By the blood of Jesus, carry-over struggles are destroyed.
In Jesus’ Mighty Name — AMEN
#prayers #everyone
 
🔥 MAOMBI YA SAA 6 USIKU (MIDNIGHT PRAYER) 🔥

(Saa ya kuvunja minyororo na kubadilisha historia)

📖 “Karibu usiku wa manane, Paulo na Sila walikuwa wakisali na kuimba sifa… mara pakawa na tetemeko…” — Matendo ya Mitume 16:25–26
Usiku wa manane ni saa ya maamuzi ya kiroho.
Ni saa ya kufunguliwa gereza.
Ni saa ya minyororo kukatika.
🔥 1. TOBA NA KUJITAKASA
Ee Mungu wangu,
Kama kuna dhambi au kosa lolote linalonizuia, nisamehe.
Nanitakasa kwa damu ya Yesu.
Nafunga kila mlango ambao adui aliutumia kuingia.
📖 1 Yohana 1:9
⛓ 2. KUVUNJA MINYORORO
Kwa mamlaka ya jina la Yesu,
Navunja kila kifungo cha kiroho!
Navunja minyororo ya kifamilia!
Navunja laana za vizazi!
Navunja vifungo vya umasikini, magonjwa, na kucheleweshwa!
Kila gereza la kiroho NILILOFUNGIWA — LIFUNGULIKE SASA!
⚔ 3. KURUDISHA KILICHOIBIWA
Ee Bwana,
Kila kitu kilichoibiwa katika maisha yangu, narudishiwa mara saba!
📖 Mithali 6:31
Ninadai afya yangu!
Ninadai amani yangu!
Ninadai ndoa yangu!
Ninadai huduma yangu!
🕊 4. KUAMURU ASUBUHI MPYA
📖 Zaburi 30:5
Maombolezo yanaweza kudumu usiku,
Lakini furaha inakuja asubuhi!
Natangaza:
Asubuhi yangu itakuja na ushuhuda!
Asubuhi yangu itakuja na majibu!
Asubuhi yangu itakuja na mpenyo!
🔥 TAMKO LA MWISHO:
Saa hii ya manane imeleta mabadiliko!
Minyororo imekatika!
Milango imefunguka!
Ushindi ni wangu katika jina la Yesu!
Amina 🙏

Evangelist Neema Lutengano
 
Acha porojo Mzee.

Hakuna uhusiano kati ya Epstein na Iran.

Kuna uhusiano wa dhahiri kati ya Epstein na Iran ; common denominator yao yaani mtu anayewaunganisha ni DONALD TRUMP! Wewe huoni hilo? Hata kama hujui kusoma basi hata picha unashindwa kuona?
 
Zipo scenario hazipingiki
Uko sahii kwamba moja yapo ya sababu za kuahambulia ni Epstein files ili kupunguza upepo mbaya bill gates kakiri,na wengi walioonekana wamekiri na kuomba msamaha huu ya uhusika wao.....ila lazima tutambue Iran,na Venezuela shida iliowacost ni mafuta na ushirikiano wao na wachina na maslahi mapana ya marekani ....Kwa habari ya el mencho alikuwa ameshakuwa mkubwa Sana alikuwa anakula na serikali zote tena pakubwa Sana .......
 
Kuna uhusiano wa dhahiri kati ya Epstein na Iran ; common denominator yao yaani mtu anayewaunganisha ni DONALD TRUMP! Wewe huoni hilo? Hata kama hujui kusoma basi hata picha unashindwa kuona?
Hizo ni conspiracy theories Kila mtu anawaza lake tu bila facts.
 
wao.....ila lazima tutambue Iran,na Venezuela shida iliowacost ni mafuta na ushirikiano wao na wachina na maslahi mapana ya marekani ....Kwa habari ya el mencho alikuwa ameshakuwa mkubwa Sana alikuwa anakula na serikali zote tena pakubwa Sana .......
Hizi ndo sababu...issue za Epstein files zinabakia kuwa sababu za kufikirika tu (conspiracy)
 
Propaganda na uongo uongo wa stori za kutunga za episteim.kazi umbeya ya kuchafua watu bila ushaidi wa maana
 
Propaganda na uongo uongo wa stori za kutunga za episteim.kazi umbeya ya kuchafua watu bila ushaidi wa maana
 
View attachment 3550361
Kwa wanaojua kinachoendelea kuhusiana na kashfa ya ngono na uzinzi za Tramp hata Netanyahu, wanajua ni kwanini Marekani na Israel wanashambulia wenzao. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara ya mafaili ya Epsten dhidi yao. Je, vumbi likitua, atamshambulia nani na hii hadi lini wakati mafaili yenyewe yapo?

wakina BILL CLINTON NA BILL GATES NDIYO IMEWAUMIZA SIO TRUMP
 
We endelea kujadili Epstein Files. Utawala wa kikatili wa Iran unaangamizwa sasahivi
Utawala wa kikatili ni wa Israel
Maisha magumu ya Iran yamesababishwa na Marekani na wenzake.
Kuweka ugumu a biashara kwa taifa la Iran.
Sabsabu nitaifa tishi o kwa Isreal na hataki falsafa ya Israel kujitanua great Israel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom