Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,250
- 113,636
rijamaa renyewe si nasikia ni ribwabwa, i mean rinabwabwaja sana.
Chuki binafsi za nini ndugu?
rijamaa renyewe si nasikia ni ribwabwa, i mean rinabwabwaja sana.
Wengi humu mnasukumwa na hisia tu kwa vile Kibonde anasadikika kuwa ni pro-CCM. Zaidi ya hapo hamna hoja yenye substance. Ni matusi, kejeli, na kashfa tu. Mngeielewa vizuri tasnia ya habari wala msingetokwa na mapovu.
Nyani za masiku mkuu .Mimi na wewe tuko hapa siku nyingi na vijana hawa wengi wao ni wanafunzi na Dunia hawaijui so usiwalaumu na mleta mada kauliza ajibiwe kama jamaa ni M CCM kwa cheo au hapana .
Back to you comments nakubaliana nawe hata kama utasema Kibonde ni mjanja mie na nikiiwa TZ huwa namsikia anafyatuka tu ana shida ya kufuata maisha ya watu binafsi .Hata angalikuwa mtu wa comments kujijengea uhalali na uheshimiwe uache kuegemea upande wewe sema tu bila kuegemea lakini hapa na braza wanasema jamaa ikifika kwa Chadema tu yeye anasema lolote tofauti na sasa hasemi janga la Taifa umeme .Labda analia na RA kuondoka nk .Huo ndiyo msimamo na uelewa lakini wewe mtu wa media kila siku unalia lia na Chadema hainogi hebu wasikilize kwanza hawa wandugu .
Rosemarie, unadhani kukaa ungereza ndio kujua kingereza! labda kama umekwenda kusoma itabidi kwanza ujifunze lugha, Sugu alikwenda uingereza kutafuta kibarua kama unavyojua kupata kibarua uingereza wala sio lazima ujue lugha kazi zenyewe kubeba mabox, kutandika vitanda vya mahoteli, kuokota mayai ya kuku wakati wametaga, kupiga deki supermarket, kuwalea wazee, hizo ni baadhi ya kazi za huko uingereza wala sio lazima ujue kingerezawee ritz huna hakika na habari zako,sugu kakaa uk miaka mingi,unasemaje?
Mzee Lunyungu, afanyacho Kibonde wala si cha ajabu na havunji miiko yoyote ile ya fani yake. Yeye ni talk show host na talk show hosts wanaruhusiwa kuwa na opinion.
Hivi umewahi kumuona au kumsikia Kibonde akisoma taarifa ya habari au akitoa ripoti kwenye kipindi cha taarifa ya habari? Kama umewahi kumuona, je alichomekea maoni yake kuhusiana na kile alichokuwa akikiripoti?
Nijuavyo mimi, talk shows nyingi hujadili matukio ya siku (yaliyomo kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari) yaliyojiri na kuripotiwa na vyombo vya habari.
Na kwa asili ya talk show yake (interactive or semi-interactive) inanoga zaidi pale ambapo host au ma-hosts wanapokuwa na opinions zao. Kwa hiyo Kibonde ana haki zote za kuwa pro-CCM au pro chama chochote kile akipendacho.
Tatizo humu ndani wamejaa wanazi wa CHADEMA/ upinzani. Lakini kama Kibonde angekuwa anti-CCM ungeona sifa ambazo angekuwa anamiminiwa. But I understand it comes with the territory. Ila ya kusema Kibonde sijui anakiuka taratibu au miiko ya fani ni ufinyu wa ufahamu kuhusu tasnia ya habari kwa ujumla.

Kibonde kweli ni pumba! Lakini kuwa mbunge wa Tanzania mpaka ujue Kingereza katiba ndio inasema hivyo? Hawa ni baadhi ya wabunge hawafahamu Kingereza.Lema, Komba, Sugu, Azzan, Selasini, Mbowe, Lukuvi
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu..
Kibonde kulikoni?
propaganda na uwenezi I thinkNashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu..
Kibonde kulikoni?
i do not think so sugu ni jembeUna hakika na maneno yako Sugu, Lema, Mbowe, Lukuvi na Selasini hawajui kiingereza? Usitumwagie upupu hapa labda Azzan wa Magamba.
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu..
Kibonde kulikoni?
Usharobaro ni nini?Je wewe ni mtangazaji pia? Au upo kwenye mambo ya tv au redio?Ubunge apate kibonde? Jamaa mwenyewe kiingereza chenyewe hajui za kuomba maji na usharobaro wa mjini. Yule jamaa hana kabisa kichwani... hana, niaminie, linajifanya kujua tu. Si unaona mada zake?