Unapokuwa huna uwezo wa kujikwamua kifikra na kiutendaji baadaye utakuwa kibaraka kama Kibonde. Ila ndugu yangu ritz; Sugu, Mbowe, Lema, Selasini kiingereza wanajua vizuri, Komba hajui kabisa, Azzan sina uhakika, Lukuvi hawezi na wala hataki kujifunza bahati mbaya hata anakotoka ISIMANI kimaendeleo wako nyuma sana tatizo ni yeye hana ubunifu.
Mwacheni yule hamna asiyejua matatizo yake hlf ni swahiba sn wa JK, kuhusu ARV za Kibonde japokuwa si vizuri kuongelea personel ya mtu lkn ukweli ni kwamba jamaa ni mwathirika
Kibonde alipata Division ZERO form four akarisit ,na ukitaka kujua akili ya mtu imejipanga vipi angalia f4 result Jamaa ni kilaza square!
Bollo Young, unajua watu wanaleta mapenzi hivi taingia uijue CDM na Mbowe lini umeishasikia au kuona kafanya interview kwa lugha ya kiingereza!Acha kufanya conclusion kwamba SUGU anajua kingereza kwa sababu alikaa UK, wangapi wanakaa huko wanarud huku hawajui kingereza hasa wale wanaokwenda kuseek Asylum kama SUGU, yeye alikua mkimbizi tu kule, nenda Kigoma kule kwenye makambi ya wakimbizi uone kama wanajua kiswahili kisa wapo Tanzania.Mbowe, Lema, Selasini, Komba wote wako shallow kwenye kingereza, I am not praising kingereza hapa lakini najibu hizo pumba ulizoandika
Kwahiyo kutukana na kukejeli ni miiko ya uandishi wa habari? kutokuangalia matatizo ya msingi ya jamii na kujificha kwenye kuwatetea mafisadi ni kufuata miiko ya uanahabari.Mzee Lunyungu, afanyacho Kibonde wala si cha ajabu na havunji miiko yoyote ile ya fani yake. Yeye ni talk show host na talk show hosts wanaruhusiwa kuwa na opinion.
Hivi umewahi kumuona au kumsikia Kibonde akisoma taarifa ya habari au akitoa ripoti kwenye kipindi cha taarifa ya habari? Kama umewahi kumuona, je alichomekea maoni yake kuhusiana na kile alichokuwa akikiripoti?
Nijuavyo mimi, talk shows nyingi hujadili matukio ya siku (yaliyomo kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari) yaliyojiri na kuripotiwa na vyombo vya habari.
Na kwa asili ya talk show yake (interactive or semi-interactive) inanoga zaidi pale ambapo host au ma-hosts wanapokuwa na opinions zao. Kwa hiyo Kibonde ana haki zote za kuwa pro-CCM au pro chama chochote kile akipendacho.
Tatizo humu ndani wamejaa wanazi wa CHADEMA/ upinzani. Lakini kama Kibonde angekuwa anti-CCM ungeona sifa ambazo angekuwa anamiminiwa. But I understand it comes with the territory. Ila ya kusema Kibonde sijui anakiuka taratibu au miiko ya fani ni ufinyu wa ufahamu kuhusu tasnia ya habari kwa ujumla.
Kwahiyo kutukana na kukejeli ni miiko ya uandishi wa habari?
kutokuangalia matatizo ya msingi ya jamii na kujificha kwenye kuwatetea mafisadi ni kufuata miiko ya uanahabari.
Unaweza kuwa mwana taaluma lakini kwa kumtetea kibonde siwekukuunga mkono.
Sina pingamizi kwa yeye kuwa CCM lakini linapokuja swala la habari kwa jamii inatakiwa kujikita kwenye kuielimisha na kuihabarisha jamii.
Mfano kuna magazeti hutokaa kuyasikia kwqenye kipindi cha jahazi na kuna habari hutokaaa kuzxisikia kwenye kipindi cha jahazi na vilevile kuna habari hupotoshwa kwa makusudi na Kibonde ieleweke vingine.
Niliwahi kuwa baa na Kibonde mida ya saaa nane akinywa bia na ilipofika saa kumi kasoro aliawaaga wenzake kwa kusenma " badaye ngoja nikaropoke redioni" u can see how is he not serous.
Mwacheni yule hamna asiyejua matatizo yake hlf ni swahiba sn wa JK, kuhusu ARV za Kibonde japokuwa si vizuri kuongelea personel ya mtu lkn ukweli ni kwamba jamaa ni mwathirika
Kibonde alipata Division ZERO form four akarisit ,na ukitaka kujua akili ya mtu imejipanga vipi angalia f4 result Jamaa ni kilaza square!
Ephrahim Kibonde ni kibonde kweli!