Ephata Nanyaro ajitosa kugombea uenyekiti BAVICHA Taifa

Ephata Nanyaro ajitosa kugombea uenyekiti BAVICHA Taifa

Pigo kubwa kwa Nanyaro kesi inayomkabili itasomwa Septemba 10 siku ambayo ni ya uchaguzi bavicha.
Nanyaro atajutia maamuzi yake ya kupiga mgambo,kuna habari pia huyo mgambo anaumwa hadi leo

hiyo kesi mliyombambikia? Kwakua Tupo na Mungu tutashinda tu
 
Anaitwa EPHATA NANYARO ana miaka 29, ana Shahada ya WILDLIFE & INTERNATIONAL HOSPITALTY.

Alikuwa Mwenyekiti Wa BAVICHA Mkoa Wa Arusha, ni DIWANI wa Kata ya LEVOLOSI kuanzia mwaka 2010,aliyefanikiwa kubadilisha maisha ya wananchi wa kata ya Levolosi katika sekita muhimu za ELIMU,KIUCHUMI,KIJAMII na KISIASA kwa Kufanikiwa kusimamia vyema halmashauri katika matumizi mazuri ya pesa za wananchi wa Levolosi na Arusha kwa ujumla.

Ephata Nanyaro ni kiongozi aliyedhalilishwa Utu wake mara nyingi na viongozi wa ccm mkoa wa Arusha hata kufikia hatua ya kutuma mgambo wa jiji kumpiga kwa kutetea haki za wanachi wake.

Ni mhasisi wa VIPATU(VIJANA PAMOJA TUNAWEZA) orgazition ya vijana kuanzia miaka 15 hadi 35 iliyokomboa vijana wengi kiuchumi ikiwemo mimi binafsi.

Pia ni member wa GYAC.

Ni Muasisi pia wa Tanzania Tour Guide Association.

"Si kila mtu anafaa kuwa kiongozi,kusoma sana si sifa ya kuwa kiongozi mbora pia" ILA
NANYARO NI MSOMI AMBAYE NI KIONGOZI BORA NA ANAFAA KUWA MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA KWA KUWA "NI MUELEWA WA MAMBO,ANA MAONO, NI MFANO BORA SIKU ZOTE KWA WATU ANAOWANGOZA MZALENDO ASIYETANGULIZA MASLAHI YAKE BINAFSI"
Pia ni:

::Kiongozi anayewaza mafanikio makubwa

::Ana jitambua,ana maono na ana nia ya kuwa kiongozi

::Ni mpenda haki,mkweli, mwaminifu na ana msimamo

::Ana jiheshimu,mzalendo,anayefahamu kutatua matatizo na ajuaye kutia watu wake moyo.

::Anafurahia mafanikio na ni egemeo la watu wote katika shida na raha

::Hufanya kazi kwa kushirikiana na watu wa chini na juu yake,hukubali kukosolewa pia ni kiongozi jasiri na msikilizaji.

"NANYARO ANA SIFA ZOTE ZA KIONGOZI BORA,MAKAMANDA TUTUMIE FURSA HII VIZURI KWA KUMCHAGUA KUWA MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA"
 

Attachments

  • Nanyaro.jpg
    Nanyaro.jpg
    41.1 KB · Views: 166
Huyu Kamanda Anaweza Sana Ni Mpambanaji mzuri sana ameweza kushindana na fitna nyingi sana za Ma CCM na Kuzishinda zote
 
je! Ana uwezo wa hali ya juu wa kufuata matakwa ya mbowe, slaa na mtei maana hiki ndo kipengele muhimu kwenye chama chetu
 
je! Ana uwezo wa hali ya juu wa kufuata matakwa ya mbowe, slaa na mtei maana hiki ndo kipengele muhimu kwenye chama chetu

Anao uwezo wakufuata Katiba ya Chadema na si Matakwa ya Mtu chadema ni chama kinachofuata katiba si kile chenu kinachofuata Pesa, Rushwa na ufisadi.. Viva Chadema

 
Muda wa kampeni bado,

Ni sahihi anaweza faa ila muda bado,

Chadema ina hazina nyingi za vijana
 
Huyu kijana anafaa, ana sifa zote za kuwa mwenyekiti Bavicha.
Ana shahada ya kwanza
Ana uwezo wa kuunganisha vijana
Ni kipenzi cha vijana
Ana maadili yasiyotia shaka
Ni mchapakazi
Amekuwa kwenye chama muda mrefu sana kwahiyo anakijua chama vyema
Ni diwani huko Arusha
Ni mpinga ufisadi aliwahi pia kupinga Ufisadi wa uzinduzi jiji la Arusha.
Ni mmoja kati ya madiwani waliokataa kupokea rushwa wakati ule wa saga la Arusha.
Ni mwenyekiti Bavicha mkoa wa Arusha
Ni mwenyekiti wa Chama wilaya ya Arusha ambaye amemaliza muda wake.
Ameshiriki chaguzi nyingi kama Kiteto, Arumeru, Biharamulo, Igunga, na Kalenga.
Ameshiriki chaguzi za kata mbalimbali mkoani Arusha, Tanga na Kilimanjaro.
Ameoa mke mmoja na ana watoto
Ni mcha Mungu.

Anatufaa kuhimili mikiki ya UVCCM na Ccm kwa ujumla.
 
kwani naye ni mchaga hiyo ni nafasi ya Ben saanane mchaga wa rombo
 
Huyu kijana anafaa, ana sifa zote za kuwa mwenyekiti Bavicha.
Ana shahada ya kwanza
Ana uwezo wa kuunganisha vijana
Ni kipenzi cha vijana
Ana maadili yasiyotia shaka
Ni mchapakazi
Amekuwa kwenye chama muda mrefu sana kwahiyo anakijua chama vyema
Ni diwani huko Arusha
Ni mpinga ufisadi aliwahi pia kupinga Ufisadi wa uzinduzi jiji la Arusha.
Ni mmoja kati ya madiwani waliokataa kupokea rushwa wakati ule wa saga la Arusha.
Ni mwenyekiti Bavicha mkoa wa Arusha
Ni mwenyekiti wa Chama wilaya ya Arusha ambaye amemaliza muda wake.
Ameshiriki chaguzi nyingi kama Kiteto, Arumeru, Biharamulo, Igunga, na Kalenga.
Ameshiriki chaguzi za kata mbalimbali mkoani Arusha, Tanga na Kilimanjaro.
Ameoa mke mmoja na ana watoto
Ni mcha Mungu.

Anatufaa kuhimili mikiki ya UVCCM na Ccm kwa ujumla.

Huyu Kamanda Namjua Sana sana Yupo vizuri sana na Amefanya mengi sana nje na ndani ya Arusha Ndani ya Chama na Nje ya Chama
 
Piga Mayowe endelea kukilimbitwa kwa ujira wa Mwiha hapo Lumumba lakini deep down mnajua kuwa Ben Saanane ni Mwamba Mgumu! Zitto et al wametumia hadi Grader kumng'oa wameshindwa, he is always yuko 100 steps ahead of Mamluki wa CCM... CHADEMA inavijana wengi sana mahiri wanamikakati wenye kujitambua: Ben Saanane, Mohamed Mtoi, Nanyaro, Malisa, Heche, RockSpider, BAK na wengineo wengi wanauwezo Mkubwa sana wa kuiondoa CCM!!! Unafahamu kwanini kwenye Makambi ya Jeshi CCM walipata Kura chache zaidi? kama unajua Key Risk Indicators (KRI) inavyofanyakazi sasa hivi Mngekuwa busy kuwashughulika wale wote wanaozidi kuiua CCM yenu via Biashara ya Sembe, Ujangili, Ufisadi, Mikataba ya Kishenzi, Maisha Magumu kwa Wananchi, Umalaya wa Kupandisha bei ya Umeme, Safari za kwenda kuidhinisha sera za Kishoga nk...
kwani naye ni mchaga hiyo ni nafasi ya Ben saanane mchaga wa rombo
 
Back
Top Bottom