Naima Ernest
Member
- Apr 5, 2013
- 41
- 22
Hongera kwa kutangaza nia na ujue unaenda kushindana na ukishindwa kuwa muungwana waunge mkono watakaochaguliwa na kuijenga Chadema
nanyaro ni mkomavu na ameshiriki sana kwenye ujenzi wa chama

ana haki ya kugombea na haki ya kuchaguliwa vile vile, ni mpambanaji, tukianzia kwenye sakata la madiwani wa arusha waliohongwa, ni yeye peke yake alisimama kama kidole bila kutikiswa na mamilioni ya ccm. Amepigwa sana na migambo ya jiji kwa kuwatetea wanyonge, ameonyesha uwezo wake. He is a hard working, multi talented and committed boy....
Chadema ina vipaji lukuki, tutataka kuona makamanda wengi wanajitokeza kushindania nafasi hizi muhimu kwa chama na taifa, nitakuwa na amani ben saanane akiingia kwenye system, jamaa ni very creative, proactive na kwakweli anaweza kuisaidia chama kujenga na kupanga mikakati ya ushindi. Tukumbuke kama siyo ben saanane pengine masalia wangeendelea kututesa hadi leo. Ben ndiye aliyesanua mbinu ovu ya pm7, kikundi cha wasaliti chini ya msaliti mkuu prezoo......
Hongera kwa kutangaza nia na ujue unaenda kushindana na ukishindwa kuwa muungwana waunge mkono watakaochaguliwa na kuijenga Chadema
Ana haki ya kugombea na haki ya kuchaguliwa vile vile, ni mpambanaji, tukianzia kwenye sakata la madiwani wa Arusha waliohongwa, ni yeye peke yake alisimama kama kidole bila kutikiswa na mamilioni ya ccm. Amepigwa sana na migambo ya jiji kwa kuwatetea wanyonge, ameonyesha uwezo wake. He is a hard working, multi talented and committed boy....
Chadema ina vipaji lukuki, tutataka kuona makamanda wengi wanajitokeza kushindania nafasi hizi muhimu kwa chama na taifa, nitakuwa na amani Ben Saanane akiingia kwenye system, jamaa ni very creative, proactive na kwakweli Anaweza kuisaidia chama kujenga na kupanga mikakati ya ushindi. Tukumbuke kama siyo Ben Saanane pengine masalia wangeendelea kututesa hadi leo. Ben ndiye aliyesanua mbinu ovu ya PM7, kikundi cha wasaliti chini ya msaliti mkuu prezoo......
Bandugu,
nimefarijika kusikia Nanyaro anapendekezwa kugombea uenyekiti bavicha. nijuavyo kwa sasa hakuna kijana mwenye profile iliyoshiba kwa vijana kama nanyaro. bila kutaka kumpamba,amekuwa katika kitovu cha mapambano.hakuna joto lililoikumba chadema asilionje. mungi kataja machache.
bavicha chini ya heche haikuwa na programu zozote bunifu zaidi ya matamko yaliyojaa misuli yakirudia wanachosema wakuu wa chama.kifupi bavicha imedumaa. on the other hand, programu alizobuni nanyaro na vijana wa arusha zimekuwa na impact kubwa kwa chama. kuna wasiojua kuwa M4C ni zao la kina nanyaro. au ile ya kupanda mlima kilimanjaro.
naelewa ushabiki kwa ben saanane.lakini labda mungi na wengi hawajui kuwa ni nanyaro aliyemfichua ben saanane kwenye usaliti wake kabla hajatofautiana na masalia wenzie. hatujui sawasawa kilichomfanya ben kupiga abov turn.msije kumlea gorbachev.
uhai wa chadema arusha una jasho na akili ya nanyaro. huyu ataipa bavicha hadhi kubwa.namuunga mkono.

chama cha wanaume? kweli cdm ni mbumbumbu,kalenga na chalinze mngeonyesha uanaume wenu.nanyaro ana kesi mahakamani ya kupiga na kujeruhi mgambo
nikuulize swali dogo mkuu,hivi askari polisi mfano anakusimamisha barabarani na kufanya ukaguzi wako wa gari na kubaini makosa halafu anakuandikia faini unakataa kulipa na kutokutii sheria ni jambo zuri.au kitendo cha nanyaro kumpiga askari mgambo wa jiji kama kiongozi tunajenga picha gani kwa wananchi tunaowaongoza
Kwa kuwa ametokea kwa Chaga people lazima nafasi yake apewe
Sitetei hata kidogo tabia ya kupiga askari. Ila nilikuwa naongelea tabia ya askari wetu na hasa hao mgambo. Vyovyote iwavyo kitendo cha kupiga askari iwe kwa sababu yoyoye siyo kizuri wala siyo cha kukaliwa kimya. Ila na hawa askari wetu wawe na utu na heshima katika kutekeleza majukumu yao.
ni udhalilishaji kumpiga mgambo wa kike.amewadhalilisha sana wanawake,afukuzwe chamani
Tangu lini kesi iliyoko mahakamani ikamnyima mtu haki nyinginezo?
Soma katiba yenu ya mwaka 1977 ujue zaidi
Mkuu Mungi
Umeandika mambo mazito sana.Ninakuunga mkono 100%
Msimamo wangu vijana wengi zaidi na zaidi wajitokeze ili kuwafundisha maaadui zetu demokrasia.
Kiukweli vipaji ndani ya Chadema ni vingi na hakika kina Ephata Nanyaro na Ben Saanane ni mfano wa kuigwa!