nanyaro hana weledi wa kuwa kiongozi tangu alipompiga mgambo wa jiji akitekeleza majukumu yake.hafai kabisa afukuzwe kwenye chama
Wapi alikosea sasa?
ukizoea vya mteremko shida tupu. Naona umeamua kukisemea chama cha wanaume cdm. Karibu sana nyumbani
chama cha wanaume? kweli cdm ni mbumbumbu,kalenga na chalinze mngeonyesha uanaume wenu.nanyaro ana kesi mahakamani ya kupiga na kujeruhi mgambo
nanyaro hana weledi wa kuwa kiongozi tangu alipompiga mgambo wa jiji akitekeleza majukumu yake.hafai kabisa afukuzwe kwenye chama
Labda ni kweli. lakini kwenye kumbukumbu zangu ni kuwa mgambo pia wanakuwa hawana adabu katika utekelezaji wa majukumu yao.
Kimsingi unaweza kuwa uko kazini lakini haimaanishi ufanye kazi kwa kunyanyasa wananchi na kutumia lugha mbovu. Wakati mwingine hiyo inaweza kuwa sababu ya kushawishi watu kutotii.
nikuulize swali dogo mkuu,hivi askari polisi mfano anakusimamisha barabarani na kufanya ukaguzi wako wa gari na kubaini makosa halafu anakuandikia faini unakataa kulipa na kutokutii sheria ni jambo zuri.au kitendo cha nanyaro kumpiga askari mgambo wa jiji kama kiongozi tunajenga picha gani kwa wananchi tunaowaongoza

Kwa kuwa ametokea kwa Chaga people lazima nafasi yake apewe
pimbi wewe soma nilichoandika kosa KUMPIGA NA KUJERUHI MGAMBO.
pimbi mama yako...
nikuulize swali dogo mkuu,hivi askari polisi mfano anakusimamisha barabarani na kufanya ukaguzi wako wa gari na kubaini makosa halafu anakuandikia faini unakataa kulipa na kutokutii sheria ni jambo zuri.au kitendo cha nanyaro kumpiga askari mgambo wa jiji kama kiongozi tunajenga picha gani kwa wananchi tunaowaongoza
hivi kikwete kuruhusu wanyama hai wasafirishwe, ni chabuungwana kweli...