Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,671
- 853
Ni vema waendelee kujitokeza
kufanya fujo na vurugu ni sifa mojawapo ya kuwa kiongozi chadema. kwa hiyo hilo lisikupe shida hata kidogo.nanyaro hana weledi wa kuwa kiongozi tangu alipompiga mgambo wa jiji akitekeleza majukumu yake.hafai kabisa afukuzwe kwenye chama
nanyaro hana weledi wa kuwa kiongozi tangu alipompiga mgambo wa jiji akitekeleza majukumu yake.hafai kabisa afukuzwe kwenye chama
pimbi wewe soma nilichoandika kosa KUMPIGA NA KUJERUHI MGAMBO.
tena mgambo aliempiga ni mwanamke.. nanyaro hafai
Kwa hyo mgambo akimpga na kumuumiza raia ni sawa?
Haina Shida, aongee na LEMA tu!
Nanyaro Ephata ni msukule wa LEMA, na LEMA ni msukule wa Mbowe na pia LEMA anakubalika na sana na Mmiliki wa chama Bwana Edwin MteiMkuu MSALANI hivi Ephata ni wawapi? au kaandaliwa? kweli Mbowe atamkubali?
Kwa hyo mgambo akimpga na kumuumiza raia ni sawa?
Hata mimi namuunga Mkono. Nanyaro ni Jembe ATOSHA.
Hata mimi namuunga Mkono. Nanyaro ni Jembe ATOSHA.