Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,652
Piga Mayowe endelea kukilimbitwa kwa ujira wa Mwiha hapo Lumumba lakini deep down mnajua kuwa Ben Saanane ni Mwamba Mgumu! Zitto et al wametumia hadi Grader kumng'oa wameshindwa, he is always yuko 100 steps ahead of Mamluki wa CCM... CHADEMA inavijana wengi sana mahiri wanamikakati wenye kujitambua: Ben Saanane, Mohamed Mtoi, Nanyaro, Malisa, Heche, RockSpider, BAK na wengineo wengi wanauwezo Mkubwa sana wa kuiondoa CCM!!! Unafahamu kwanini kwenye Makambi ya Jeshi CCM walipata Kura chache zaidi? kama unajua Key Risk Indicators (KRI) inavyofanyakazi sasa hivi Mngekuwa busy kuwashughulika wale wote wanaozidi kuiua CCM yenu via Biashara ya Sembe, Ujangili, Ufisadi, Mikataba ya Kishenzi, Maisha Magumu kwa Wananchi, Umalaya wa Kupandisha bei ya Umeme, Safari za kwenda kuidhinisha sera za Kishoga nk...
Hapa ni Nanyaro tu ndie anayefaa