Enziii za mwaaalimu..

Na mie ndio nilikuwa nataka nikuulize nilijua labda umemfungia sehem
Kwa kuwa sijajua kilichompata ndugu yangu.
Mara ya mwisho alisema anaenda kuhesabiwa ila mpaka leo kimya.
Afadhali kama alikuaga anaenda hesabiwa yawezekana huko network inasumbua ila wifi yetu tuna mashaka nae
 
Hehehe eti mnaa Enzi za ujamaa kulikuwa na mnaa kweli?

Enzi hizo unaa ndiyo ulikuwa kwao, ilifika wakati mume hamuamini mke na mke hamuamini mume.

Tuulize tuliokuwepo.

Tena vijana wa sasa mna bahati sana, tuliokuwepo enzi hizo tungali hai, miaka michache ijayo mtakuwa mnasomeshwa ujinga tu kuhusu enzi hizo , at least sasa mnao eye witnesses na mnaweza kutuuliza chochote ili muielewe kweli.
 
Sawasawa
 
Iceman na Aishah mnaharibu thread,
Ukiondoa Mwandosya na Mwl Nyerere, hao wengine ni akina nani?
Walikuwa na vyeo vyovyote serikalini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom