Enziii za mwaaalimu..

f23aca06b52a8ca6443d611cde5251cd.jpg


Huyo mzee mwenye kaunda nyeupe anaonekana mnaa sanaa...
people were humble and loyal...... full adabu
 
Nje ya Mwandosya hao wengine nimetoka kapa.

Halafu...mbona wale wa suti nyeusi siwaoni...au
wapo hapo baadhi....sema mapindi hayo walikuwa full cover....
tofauti wa sasa ukiwaona tuu unawajua..na suti zao za salesale mauwa.... ...
 
Enzi hizo unaa ndiyo ulikuwa kwao, ilifika wakati mume hamuamini mke na mke hamuamini mume.

Tuulize tuliokuwepo.

Tena vijana wa sasa mna bahati sana, tuliokuwepo enzi hizo tungali hai, miaka michache ijayo mtakuwa mnasomeshwa ujinga tu kuhusu enzi hizo , at least sasa mnao eye witnesses na mnaweza kutuuliza chochote ili muielewe kweli.
kumbe na wewe ni kigagula.. ....??..
 
Iceman na Aishah mnaharibu thread,
Ukiondoa Mwandosya na Mwl Nyerere, hao wengine ni akina nani?
Walikuwa na vyeo vyovyote serikalini?
bora umesaidia... ...wamejisahau na kuanzishiana mistari hapahapa.... ...!!!...
 
Kwani huyo hapo nyuma ya Mwalimu ni nani?Nilifikiri ni mzee wa awamu zoote Mh.saaana 'Tyson' lakini si yeye.,
na hapa yaonekana ndipo "FATHER OF THE NATION" alikuwa anaelekea kung'atuka.
Tafadhali tiririsha utambuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom