Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,304
Shosi hebu nipe ufafanuzi hapo kwenye red.kutanguliza miguu na sikitu inauhusiano gani?au inamaanisha nini.Hapo zamani kabla na baada ya mwalimu na hata wakati wa mwinyi ilikuwa mtoto akizaliwa mvua inanyesha anaitwa "mwamvua" akitanguliza miguu wakati wa kuzaliwa ataitwa "sikitu" akizaliwa ijumaa ataitwa "juma au mwajuma" akizaliwa jumapili ataitwa "pili" akizaliwa jumatatu ataitwa "tatu"
Kuna kipindi kukazuka watoto kuitwa majina ya watawala wa zama husika, hii ilitawala hasa kipindi cha kuanzia mwinyi ila sina uhakika kama bado kuna watoto wanazaliwa wanapewa majina kama Slaa, Mbowe, Kikwete n.k.
.
Shosi hebu nipe ufafanuzi hapo kwenye red.kutanguliza miguu na sikitu inauhusiano gani?au inamaanisha nini.
btw,usharudi jf?maana ulikuwa unaaga na kufunga mizigo..
Unamuita mwanao CHAUSIKU dah sijui hilo jina linakuwa linamaanisha nini
Tabu
Shida
Mwamvua
Sikitiko
Sikujali
Sikudhani
Mwajabu
Endelea
Sipati picha unamwita mtoto Rostam. Watamchukia huyo mtoto watanzania wote!!!
Unamuita mwanao CHAUSIKU dah sijui hilo jina linakuwa linamaanisha nini
Tabu
Shida
Mwamvua
Sikitiko
Sikujali
Sikudhani
Mwajabu
Endelea
Hapo zamani kabla na baada ya mwalimu na hata wakati wa mwinyi ilikuwa mtoto akizaliwa mvua inanyesha anaitwa "mwamvua" akitanguliza miguu wakati wa kuzaliwa ataitwa "sikitu" akizaliwa ijumaa ataitwa "juma au mwajuma" akizaliwa jumapili ataitwa "pili" akizaliwa jumatatu ataitwa "tatu"
Kuna kipindi kukazuka watoto kuitwa majina ya watawala wa zama husika, hii ilitawala hasa kipindi cha kuanzia mwinyi ila sina uhakika kama bado kuna watoto wanazaliwa wanapewa majina kama Slaa, Mbowe, Kikwete n.k.
Ingekuwa enzi zile za mwalimu tungeshuhudia watoto wanaozaliwa katika kipindi hiki wakiwa wanamajina kama Dowans, Mbagala, Gongo la Mboto, Al adawi, Rostam,google, JF, You tube,hi5,IPTL, Songas, Mwakyembe na kadhalika kutokana na wakati wenyewe.
Jana nimesoma news sehemu nikaona kuwa nchini Misri kuna jamaa amemwita mtoto wake wa kike "facebook" kuapriciate mchango uliofanywa na facebook kwenye maandamano yaliyopelekea HM kuangushwa. Wapashaji habari wanasema mtoto huyo amepokea zawadi kem kem kutoka kwa vijana wengi wa kimisri. Nadhani hapa kwetu katika waliozaliwa kwenye mkesha wa tukio la gongo la mboto angepewa jina la gongo la mboto si ajabu watu wangemiminia mizawadi.
Kwa kidhungu Dina ndo chakula cha usiku eeehUnamuita mwanao CHAUSIKU dah sijui hilo jina linakuwa linamaanisha nini