INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,271
natamni kuliona pozi lako kwakipindi hicho,nakumbuka kupiga picha enzi hizo zakwenye album kunavitwa vya lazima uvionyeshehaha hii ndiyo yenyewe sasa
natamni kuliona pozi lako kwakipindi hicho,nakumbuka kupiga picha enzi hizo zakwenye album kunavitwa vya lazima uvionyeshehaha hii ndiyo yenyewe sasa
Now you are talking.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wangu alikuaga nayo ya silver
Nakumbuka Television inayotumia betri pia!!! Yaani tulikua tunajidaiii!natamni kuliona pozi lako kwakipindi hicho,nakumbuka kupiga picha enzi hizo zakwenye album kunavitwa vya lazima uvionyesheView attachment 488398 View attachment 488399
haahaaah ilikuwa gusa unate nilisha wahi kuiba hivyo hivyo ya mzee nikaenda nayo shule kufika kule na makanda yangu yangu mabovu yakanasia kutoa ikawa mziki,unajua kilichofuata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wangu alikuaga nayo ya silver
[emoji23][emoji23][emoji23]haahaaah ilikuwa gusa unate nilisha wahi kuiba hivyo hivyo ya mzee nikaenda nayo shule kufika kule na makanda yangu yangu mabovu yakanasia kutoa ikawa mziki,unajua kilichofuata
mtaa mzima wewe ndio wewe kipindi hicho kuwa mtumishi au msomi kunafahari yake bhana,nadhani ndio ilikuwa mwisho mwisho mwa Tanzania kabla haijafa rasmiNakumbuka Television inayotumia betri pia!!! Yaani tulikua tunajidaiii!
najaribu kuimagine mavazi yako kipindi hicho na muonekano wako kwa ujumla wakati huoNow you are talking.
Naomba tuonane tusikilize wimbo wa Ed Sheeran - Thinking Out Loud.Alafu nna walkman bado mpyaaa inajaza nafasi tu kabatini!!! Kuna watu wanatumia hizi kitu???
Dah kumbukumbu mujarabu kabisanatamni kuliona pozi lako kwakipindi hicho,nakumbuka kupiga picha enzi hizo zakwenye album kunavitwa vya lazima uvionyesheView attachment 488398 View attachment 488399
umenikumbusha mbali nilikua na madada zangu kipindi hiyo ndo moto, mastadu hatari walkman za kanda kavyaa bigmaki na shati la drafti drafti au snopi dogi dogi staili hahah mara tape ya brandi, alliyah.dah kitambo sanaEnzi hizo kuna Boys II men ukija kwenye lingala Kanda Bongo man anatamba na Mayebo ya kupora.
Nisalimie Mimi ni sawa na mzee wako nami nilikuwa nayo Sony nyeusi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wangu alikuaga nayo ya silver
Shikamoo mkuuNisalimie Mimi ni sawa na mzee wako nami nilikuwa nayo Sony nyeusi.
Hapo unapiga kapelo na Shati kubwa hufungi vifungo na white T-shirt ndani.Bila kusahau jinsi ya SAVCO na raba ulimi nje.Hatari!kung'olea under 20[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Marhabaa mwanangu.hujambo?Shikamoo mkuu
SijamboMarhabaa mwanangu.hujambo?