Enzi zao

Enzi zao

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421132497784.jpgkutoka kulia muhomakilo jr, Mzee wa Rula, Idd Ninga ila Riwa hajatokea
 
Last edited by a moderator:
Hao wa juzi aisee...mie old 'timer', Enzi za uniform kaptula raba DH...'raba mtoni' mpaka baba yako aende ulaya!

Savco na bioAct unazikumbuka? Mocassin na mashati ya mchelemchele
 
Savco na bioAct unazikumbuka? Mocassin na mashati ya mchelemchele

Kuna mChagga ambaye hakuvaa Savco!? Mocassin tulivaa za kuchonga kwa 'Mangi' soli zinauzwa Manzese...unanunua kwanza soli, halafu Mangi ndo anakuundia kiatu!
 
Kuna mChagga ambaye hakuvaa Savco!? Mocassin tulivaa za kuchonga kwa 'Mangi' soli zinauzwa Manzese...unanunua kwanza soli, halafu Mangi ndo anakuundia kiatu!

Na raba za kuvaa gidamu za rangi mbili
 
Back
Top Bottom