Enzi zangu tulikuwa hatuna mchezo

Enzi zangu tulikuwa hatuna mchezo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
196202_459285954109445_1191037773_n.jpg
 
Mkapa ana roho mbaya sana... Mwalimu kumpenda kote kule, lakini mwisho wa siku anaishia kumuua?..
 
Mzee wa rasimu ya katiba akiwa nyuma anawaangalia tu huku anawaandalia dawa yao, ambayo tumeanza kuiona.
 
Mkapa ana roho mbaya sana... Mwalimu kumpenda kote kule, lakini mwisho wa siku anaishia kumuua?..

Inaelekea umezichoka hizo kucha na meno yako!!!!!

Tiba
 
Inaelekea umezichoka hizo kucha na meno yako!!!!!

Tiba

Style ya kung'oana kucha ni ya huyu mbayuwayu mzururaji... CheNkapa yeye alikuwa na ile ya "acheni wivu wa kike" then, yameisha... Haweki kinyongo kama huyu "kifafa boy"....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom