Enzi zangu mie Karucee

You must be very fit, manake bball yenyewe sio mchezo.

Inabidi uwe na raba nzuri otherwise zitakuwa zinachanika daily.


Kiukweli Mimi Nilikua fit sn tena kimazoezi Nilikua nimeiva sn na pia Mimi ni mrefu ni km futi6 na nusu hivi! Kwa hiyo Nilikua naumudu sn tu huo mchezo!

Then kwa upande Wa Viatu lazima uwe na Pairs kibao na kununua Viatu Mara kwa Mara bila ya kusubiri mpk viishe! Ata mavazi ya kuchezea pia!
 
Hahahaaa!!
I see my dear.
Mimi niko kwenye mpira wa miguu sana na Mbio. I play jioni moja moja kwa week days na pamoja na uzee wangu huu kila weekend asubuhiii uwanjani. I play offessinvely as a midfilder or central stricker. Walikua wananiambia nitafaa sana kwa basket kutokana na kimo changu lakini sikuwa naifeel back then.

I cant wait watching you playing.... I will bring you one catton of your favourate drink.... Till then.... Cheers
View attachment 148714Enzi zangu hizo. Hapana chezea 3 point zangu pamoja na ufupi wangu.
utafiti, Mndengereko, Don Mangi, Red Giant, Desert Storm, Ntuzu, Mr Rocky, Tized

Nitaweza tenaaaaa?
 
Nipo Kiongozi.. Najua wewe, Mndengereko, utafiti na Ntunzu ni wanamichezo wazuri sana. Hivi tofauti na mchezo wa karata na ushabiki wa Mani Yuu, kuna mchezo mwingine mnacheza kweli?
Karucee nimeyahesabu haya maneno yangu, wakinigeuka hawa mabwana, Uwe standbye kuwafungulia hata kesi ya ugaidi ikibidi.
Kweli wapaswa kuzikumbuka enzi zako Karucee zilikuwa balaa.
Hivi Tized na Mndengereko na yule Excel bazazi wamepita hapa wakaona hii
 
Last edited by a moderator:
No, am not playing anytime soon hun.

I will have to get back to exercise first before I can even think of playing. Ongeza motherhood na job.lol
 
Tized tofauti na hiyo mimi utanikuta kuogelea, hapa najua nitawaacha wengi, kama miss neddy yeye na jiwe nadhani anawahi yeye kuzama kuliko jiwe
 
Last edited by a moderator:

Buddy, 6 1/2? wow!! You really are tall.

Am 5''2.

Did you play as a center or forward?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…