Enzi zangu mie Karucee

sweetie nampaga uran salamu akuletee.

Zinakufikiaga?

Please mwambie apunguze kunisemea nikikonyeza waume za watu.

Hahaaa sasa we kwnn ukonyeze waume za watu jamani? Si ajabu na wangu unamkonyezaga eeh. Salam napataga mamii
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh

Karucee my dear wankumbusha mbali sn enzi zangu hizo!

Duh! Kweli mambo hayawezi kua sawa tena!

Nilikua playmaker mzuri sn yani we Acha tu!
 
Last edited by a moderator:
Oh yes. Bonge la dribbler. I miss this game jirani. I miss the sound of the ball on the court.

Hahahaa!!

Najua ulikuwa unatoa sana assists na kufanya steals za kufa mtu...

Unanikumbusha mbali sana nikiwa nacheza Center wa Intl College Team huko kwa watu wafupi kuliko wote duniani...
 
Hahahaa!!

Najua ulikuwa unatoa sana assists na kufanya steals za kufa mtu...

Unanikumbusha mbali sana nikiwa nacheza Center wa Intl College Team huko kwa watu wafupi kuliko wote duniani...

jirani unanipaga raha mnooooo.
 
Teh Teh Teh Teh

Karucee my dear wankumbusha mbali sn enzi zangu hizo!

Duh! Kweli mambo hayawezi kua sawa tena!

Nilikua playmaker mzuri sn yani we Acha tu!

Amazing. Kumbe tupo wengi. Bball ina raha yake aisee.
 
huo mchezo hata mim wakati nipo secondary school niliwahi kuipenda na kuucheza.ila kwa sasa majukumu ya kimaisha yamechukua nafasi.sina mda tena.

We acha tu. Nimecheza mpaka post grad but nikiwa high school ndo nilikuwa mkali.

I hope my son loves it same as I did.

Kakikuwa kidogo nitakafungia rim.
 
Hahaaa sasa we kwnn ukonyeze waume za watu jamani? Si ajabu na wangu unamkonyezaga eeh. Salam napataga mamii

Aisee wananianzaga wao. Na mimi sina hiyana narudisha salamu.
 
three points na kutegemea board kama ni mfupi, unadrible mpaka pembeni mwa uwanja kulia au kushoto kwenye mstari, then unarusha mpira kwenye board kwenye ile mchoro wa kibox mpira unaangukia ndani ya ring, hakuna kudunk as simple as that..kwa wafupi lakini
 
Amazing. Kumbe tupo wengi. Bball ina raha yake aisee.



Sn mamy! Tuko Wengi sn! Ila hui mchezo ni mzuri sn!

Maishani mwangu mchezo Wa bball na fball ni michezo yng ninayoipenda sn ni Nilikua naicheza sn yote miwili na kufanya vzr tu!
 

Dribbling ukiwa mfupi inakupa mileage aisee. Ku dunk hutaweza, lols watadudaka kama kiroboto.

No feeling like the ball going through the rim I tell you.
 
Sn mamy! Tuko Wengi sn! Ila hui mchezo ni mzuri sn!

Maishani mwangu mchezo Wa bball na fball ni michezo yng ninayoipenda sn ni Nilikua naicheza sn yote miwili na kufanya vzr tu!

You must be very fit, manake bball yenyewe sio mchezo.

Inabidi uwe na raba nzuri otherwise zitakuwa zinachanika daily.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…