Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,119
Wendawazimu tu ndio wanaoamini kua kaota,lkn kwa wenye akili wanafikiria mbali zaidi hasa panapokuja swala la ulinzi wa Rais wetu, kama alijiandaa kutumika kumdhuru kiongozi wa nchi ajiandae kujibu na kuonyesha wana mkakati wenzie vinginevyo hatoki,mmezoea mazingaumbwe lkn sio kwa awamu hiiKama kusema ukweli kwenye utawala wa Raisi Magufuli ni dhambi basi kwa Lema mtafikisha mahakamani kila siku kesi zote mtashindwa.
Nimeshangaa sana Tanzania kuna sheria ya kumfunga mtu ambaye ameota na kuonyeshwa maono na Mungu?
bado hajafariki mbabe huyo kanimalizia hamsini zangu sana fala huyo kwenye mabanda ya video