Enzi zake alisumbua

Enzi zake alisumbua

Kwa nini munatania watu na heshima zao, na kama wa umri mdogo angekuwa sawa na mama yako?

Ndiyo maana munapata laana bila ya kujitambua.

Yaani huyu kwa dhambi alizonazo akilaani tu laana inamrudia. Eti wamesema bi kiroboto a.k.a Mrs.fomesheni???!!!
 
si nasikia hana hata bwana,anipe fursa kijana mie wa 25yrz

Moja ya amri kuu za MUNGU inasema "Waheshimu baba yako na mama yako siku zako zipate kuwa nyingi.......". Kwa umri wako huyu ni sawa na mama yako mpe heshima yake, please
 
Bi kidude....sura na roho .. majibu tafadhali kwa kifupi mh waziri....ze tanzania is want to wercom yu ze ambasada blahblah mingi..alafu nitawahoji sasa wanaoafiki na wasio afiki ...oooooo.... wote wameshinwa ovyo kabisa sasa tuwatambue wageni wetu ....wenu na nani??????????
 
Back
Top Bottom