Enzi za utoto ushawahi kula hawa ?

Enzi za utoto ushawahi kula hawa ?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Unasubiri watoke kwenye shimo
FB_IMG_1610993251493.jpg
 
Sio watoto tu wanaliwa hata na watu wazima kabisa wenye miaka 60 tena hao watafiti wazee wa zamani wanasema kwa wanaume inaongeza nguvu za kiume yaani balaa msichana au mdada lazima makamasi yamtoke
 
Ngoja niangalie comments za waliokuwa watoto wa mikoani
 
Back
Top Bottom