Enzi za utoto ushawahi kula hawa ?

Enzi za utoto ushawahi kula hawa ?

Usisingizie enzi za utoto sema tu kwenu huko hamchagui mnajilia tu utoto gani huo ule wadudu hao? Ndio kwanza nawaona leo umekulia wapi mwenzetu
Kwa hiyo kama ndio kwanza unawaona ndio wasiliwe, tujitahidi kuheshimu mila na desturi za wengine
 
Usisingizie enzi za utoto sema tu kwenu huko hamchagui mnajilia tu utoto gani huo ule wadudu hao? Ndio kwanza nawaona leo umekulia wapi mwenzetu
Sisi kwetu hakunaga makitu hiyo
 
Iringa hoyeeeee hii ktu nakulaa mbichi na kukaanga zen nakula ulaz mkangafu umelala sku 5
 
Sitaki kuwa mnafiki,mimi pia nimeyala utotoni nikiwa home Tunduma,yanafanana na Manyigu/madondora.Sitasahau mdogo wangu aliwahi kukosea,akadaka dondora badala ya huyo mdudu,kilichompata sitaki kusema,tulikuwa tunayaita mazyenje.
 
Aisee nimewala sana hawa wadudu enzi nipo usandaweni, unamchukua unamkata bodi lake hilo then unamkaanga.
kwamtoro
 
Hiv hawa wadudu siku hizi walipoteleaga wapi.nimekula sana hawa wadudu wakiwa wabichi hivyo hivyo ,watamu sana aisee wana mafuta pia.unasubiri anatoka unamchukua unakula
Wapo mkuu ,lakini mpaka kuwe na mvua ambayo haikatiki kwa siku chache
 
Usisingizie enzi za utoto sema tu kwenu huko hamchagui mnajilia tu utoto gani huo ule wadudu hao? Ndio kwanza nawaona leo umekulia wapi mwenzetu
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom