Enzi za slim fit

Zingatieni kichwa cha habari kwenye hio 'screenshot'....yaani mama zenu kwa hao jamaa walikuwa hawafurukuti!
 
Enzi hizo gonjwa hatari ilikuwa ni gono tu basi nimepiga zangu juu pima chini kadiria bugaloo hilo chini Raizon ngazi tatu afro limenyanyuka kinang'aa balaa
tunaenda disko ni mwendo wa ngoma za kikongoman tu enzi hizo zaiko langalanga katika ubora wao Wenge musica bcbg duh! Yaani umenikumbusha mbali sana
 
Enzi Hizo Mk Group Wanapiga Kwny Ukumbi Maarufu Dar, Ukijulikana Kama Ruvuma Mpaka Maputo. mshana jr, Unakumbuka Dr. Remmy Na Super Matimila Walikuwa Wanapiga Ukumbi Gani Mwananyamala?

Enzi zile za tukunyema siyo?
 
video dedicated to:
[HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] [HASHTAG]#GENTAMYCINE[/HASHTAG] [HASHTAG]#SHIMBAYABUYENZE[/HASHTAG]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…