Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,101
wakati wa jk dah cjui nianzie wapi!
Enzi za Mkw....e waschana wanaopata mimba shuleni ni kiherehere chao
wakati wa jk dah cjui nianzie wapi!
Enzi za mwalimu sh 100 ilikuwa kama sh 10000 lakin siku hizi sh 10000 ni kama sh 100
buguruni mzaz
>Enthi tha mwalimu wasichana wengi miaka 20 kumkuta na bikra ni kawaida,thatha ivi miaka 13 hukuti kitu,
kimboka.
Inawezekana ndo maana huwa wanatoa na katigo.Unamaanisha tumewashikia akili zenu and OUR WISH is YOUR COMMAND?
Na wimbo wa Taifa ukipigwa mnasimama na kuimba kwa heshima, siku hizi ndio ni wimbo wa matangazo ya biashara shittttttttttt!!!!!!!!enzi za mwalimu bendera ikiwa inashushwa saa kumi nambili filimbi ikilia tu watu wote mnasimama siku izi sijui imeishia wapi
wazoefu!