enzi za invisible na usharobalo wake

Yakale ni dhahabu. Inakumbushia isue za 'from our fiiles". Hapa atakuwa alikuwa na baba/kaka na mdogo wake. Hii ni kumbukumbu safi saaana
 
Yakale ni dhahabu. Inakumbushia isue za 'from our fiiles". Hapa atakuwa alikuwa na baba/kaka na mdogo wake. Hii ni kumbukumbu safi saaana
 
Dah! Mecheka kweli mie! Jamani JF is boring always! Source. Ze boss
 
teee teeeeeh! nimekumbuka enzi hizo alikuwa jirani yangu maeneo ya pale naniiii!
 
Invisible ameiona kweli. Nategemea akiona atainyofoa hiyo picha.
 
Mbona kama kwenye picha kwa juu kabisa kuna maandishi ya blue "figganigga" yamekatwa!! Mkuu isije kuwa ni wewe huyo...

hahahaaaa....!!! mkuu umeangalia vibaya. angalia tena. Mia
 
Lol! Kumbe ndo yuko handsome hivi, yafaa agombee urais!
Afu sio suruali nusu, amevunjika mguu kavaa hogo la haja. Mbele hapo angalia magongo ya kutembelea.

weee nae..!! jicho kodo. hahaaa...!! Mia
 
Siku hizi anavaa suti na kuacha label mikononi
 
Hapo ilipopigiwa ni Kinondoni A.
Kipindi hicho kule hananasif tulikuwa tunaenda kuokota kuni. Kulikuwa na bonge la msitu inasadikika kulikuwa na simba kibao. Mnaenda kikundi mimacho inawatoka kwa woga. Mia kwa mia.
 
Hahahahaaaa Bann yanini wakati anakumbushwa enzi zake, halafu inafaa ye ajipige bann kwa kuvaa suruari nusu mguu

Kwa nini usiseme kaptula yenye mguu mrefu. Bilauri ikiwa na maji nusu utasemaje, Half full or half empty?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…