enzi za invisible na usharobalo wake

Mkuu utapigwa ban sasa hivi. Nitarudi baadae kidogo
 
Mkuu utapigwa ban sasa hivi. Nitarudi baadae kidogo
Hahahahaaaa Bann yanini wakati anakumbushwa enzi zake, halafu inafaa ye ajipige bann kwa kuvaa suruari nusu mguu
 
Kumbe Invisible anataniwa kirahisi hivi? sikujua...
 
mia bwana ogo siku hizi ni suruali..

huo ndo ulikuwa usharobalo wa kizamani. suruali anakata mguu mmoja au suruali juu anavalia kaptura halafu juu nywele nyingi na kitana kichwani. Mia
 
Mbona mimi siioni, wamekwisha itoa hiyo picha nini?
 
sidhani kama hiyo ni suruali iliyokatwa mguu mmoja bali amevaa kaptula na mguu wa kulia amefungwa POP
 
ukimwonyesha ataikana the atakuundia tume ikuchunguze kaka wewe ni mtanzania ama la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…