Angekamuliwa mpaka damu!nakumbuka miaka ya 96-97 loleza,mlinzi alikuwa natabia ya kutuchungulia wakati wa kuoga. Cku hiyo kapita bafuni wanafunzi walipomuona wakatoka wote uchi wakaanza kumwita wacha atimue mbio akajua wanataka kumbaka. Jamaa hakurudia tena
Kama ulipitia shule za boarding zamani,hamna haja ya kwenda JKT.Nakumbuka F1 kipindi nikiwa Ruvu Sec mateso yalikuwa makali mno kiasi kwamba tulikuwa tuishi katika mabanda ya vyombo......Nasema mateso yalikuwa makali mno siwezi kusimulia.
Mkuu hapo kwenye red ni bweni la Ilboru au shule ingine?Duh, basi mi nakumbuka tukiwa Old Moshi sec...
kwanza ni bifu tulilokkua nalo na Moshi tech...yani kuna siku tulitembea mpaka huko Moshi tech..kuanzisha vita tu!
Ila nakumbuka zaidi nilipoingia form one nikaitwa na majamaa (na walikuwa wakurya.. kutokana na lafudhi zao-afu nikakumbuka stori nlizokua nasikia kuhusu wakurya ati wakija kusoma sekondari ni wababa kabisa na wao vita ni jambo la kawaida kwao)
basi wakaniita nje ya bweni pale Hanang...wakanipa kiatu kinachonuka uvundo..wakasema nipige simu nyumbani nimwambie baba pesa zimeisha...kwa hiyo nikajifanya ninaongea na baba yangu. Basi nikatunga stori nilipokata simu nikawaambia amesema, atanitumia baada ya muda. Hivyo wakajifanya wana huruma sana...wakanipa shilingi mia, wakasema dogo kajinunulie maandazi na soda ila kabla hujanunua uje na maziwa na mkate mkubwa...duh! nilitoka jasho....
ilibidi niingie bwenini nichukue pesa zangu nikawanunulie...!!!!
tangu siku hiyo...mimi na njia ya hanang siendi...
sanasana nilikua natembea na wale majamaa vipofu, ukiwa nao hawakusumbui...hicho ndo kilichonisave....GUD OL' DAYZ....Auld Lang Syne...
Kama ulipitia shule za boarding zamani,hamna haja ya kwenda JKT.
Nakumbuka siku moja nikiwa o-level form 1 kibaha sec,si unajua ule utaratibu wa misosi,watu kadhaa mnaunda kikosi,maybe watu 13 mnakuwa na dishi lenu moja la ugali/wali na moja la mboga.
Ugumu ulikuwa unatokea ikifika zamu yako, unafuata msosi jikoni,unagawa kwa wenzio na kuosha madishi na kuyarudisha jikoni.siku moja jamaa alipojua ni zamu yake akaamua kutokuja kabisa.
Tulikuwa form one 5,form two 4 na form four 2.Form four mmoja akashauri form one(nyoya,salamanda,nyoka) mmoja ajitolee lakini tuligoma wote. Wale form iv walijitolea ku-save msosi,ila walichofanya sitasahau.
Waligawana msosi wao wawili wakatosheka, baada ya hapo walimwaga wali wote uliobaki chini na mchuzi wakaugeuza maji ya kunawa,kiufupi tulipigwa dash.
Dah!vp wewe ulipokuwa form one,tupe kisanga kilichokukuta!
Mkuu hapo kwenye red ni bweni la Ilboru au shule ingine?
Me nakumbuka 2livyokuwa golan(school) cku ya wal na nyama kuna jamaa 1 albeba wal wake akiendw dom kuula bas kuna jamaa mwngne akamgonga kwa baat mbaya bas ile saan yake ikadondoka na kujifunka chini,basi jamaa akamalizia 2 kumiminia mchuz palepale chini na akaanza kula mpaka anakalibia chini akaacha,daaaaaaaaaaah nlcheka balaaaaaaaaa
ahahahaah!! Bora sisi seminarini hakukuwa na ubabe wa namna hii!
Tarehe 1 april, 1996 imenikumbusha mbali.tuliwapiga form 1 wakakimbilia porini mmoja akatenguka mkono.Kilichofuatia kilikua kizaa zaa.nakumbuka lile parade la kutambuana pale mazengo.room yetu ya G5 ilikaa wiki nzima bila kula kwa kuogopa kufukuzwa shule.