enzi izo...

Sikuwa nimepita hapa JF Mafoto kwa muda...sasa nilianza na kuweka uzi halafu baadae katika kupitia threads za hapa ndio nikaiona hiyo ya Joe...hata hivyo nimetuma PM kwa Invisible, aipige chini hii thread!!!

Mkuu watu8 kwahiyo uli'copy' na ku'paste'?
 
Last edited by a moderator:
Sikuwa nimepita hapa JF Mafoto kwa muda...sasa nilianza na kuweka uzi halafu baadae katika kupitia threads za hapa ndio nikaiona hiyo ya Joe...hata hivyo nimetuma PM kwa Invisible, aipige chini hii thread!!!
Mkuu iache tu,tuendelee kuselebuka nayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…