mkuu hapo unatudanganya sasa enzi hizo Tiles?Luku?mhh ila safi ilikua hakuna ukimwi,mambo unapata natural hakuna mkorogo,form 4 unapangiwa ajira moja kwa moja
Kuna studio moja "Meku studio" ndo tulikuwa tunakwenda kupiga picha,
unakuta maua yapo na radio cassette kabla hujapiga unauliza radio band ngapi hii akikwambia tatu unamwambia weka ile ya band 12 la sivyo sipigi picha...