Enzi hizooo

Kia katika ubora wake ! Lakini ziliua sana hizo chai maharage wakati zilipo anza kazi ukichukulia kuwa usukani ulikuwa kushoto!
 
Miaka ya 80s, nilikuwa nakaa majumba 6 , nimepanda sana hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…