Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
hizo hapo kwa kucheza hadi leo zinabamba sana.....Rafiki mie sikuwa sana mpenzi wa Bongo flava. I was more into the like of Mchinga Sound (Swahili song: Kichwa cha panzi - YouTube) (tupishe tupite tunataka njia, kama vile wewe unga tela nyuma), Twanga Pepeta, miziki ya Kikongo bila kusahau zilipendwa.
hizo hapo kwa kucheza hadi leo zinabamba sana.....
hawa bongo flava wa zamani nilikuwa napenda sana kusikiliza maneno, yaani unasikiliza vituko, unacheka tu
ha haaa, mbwa napaliwa mate.......bado....."alikuwa anabweka umbeya", lol!
Ukilinganisha na miziki ta sasa hivi hadi unakosa hamu ya kuwasikiliza Mastar wasasa maana theme ni mapenziii tuuuu