Enzi hizo.,.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi hizo.,.....!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Safety last, Jul 3, 2011.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Enzi hizo kama baba wa taifa anafanya ziara eneo lenu mnajipanga barabarani kuanzia asubuhi kumsubiri yeye,maduka shule masoko na shughuli nyingine zinasimama! Siku hizi nani ana muda na magamba ,nimetoka Ban wapendwa baada ya kutofautiana hoja na Gamba ,unazikumbuka enzi zozote ??
   
 2. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nakuimba nyimbo za kusifia CHAMA
   
 3. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mie nilimaliza ban juzi, juzi so tuko wengi!
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  mie jana ndo nilimaliza likizo yangu ya siku 4, kisa nilile jina la siku zote tunalomuita mh.spika, siwezi kuliandika maana sitaki likizo tena.
   
Loading...