Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Bila hivyo ilikuwa unaonekana si wa kisasa.Umenikumbusha pushback mtindo huu ulivuma sana mpaka enzi za chachacha chirmeni na kalkiti
Kwa hiyo na wazee wapige kata K?Siku hizi mi naona kuna tofauti na zamani,kipindi kile fashion ikiingia inaingia kwa kila mtu ndani ya nyumba Baba,mama na watoto wote mnaingia kwenye hiyo fashion,kwahiyo hakuna wa kumuona mwenzie muhuni,ila siku hizi fashion inaingia wazee wana simama na zile za zamani na kuwaachia vijana waingie kwenye hiyo fashion na hatimaye kuna anza kuibuka maneno ya kuwa vijana ni wahuni.Anyway sijui kimetokea nini hapo.
Weee ishia hapo hapo!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hivi denge lilikuwa jeshini tu au nasahau.
Enzi hilo maisha yalikuwa simple, haha mstarehe, watu wanapendana haswa.Acha kabisa hii maneno
Picha moja inachukua nusu saa kupigwaEnzi hizo kamera zilikuwa sio km hizi za selfie. Picha zilikuwa hazina rangi
Dah!!!!!Nidhamu ya kazi ni ushindi[emoji444] [emoji450] na mafanikio mema kazini eeeh[emoji442] [emoji444] viongozi na wafanyakaziii[emoji445] lazima wote tuwe na nidhamuuu[emoji450] [emoji443] migogoroo[emoji445] na migonganooo.. ya kazini ni upotofu wa nidhamuu[emoji450] [emoji443] [emoji444]
Mkuu vo5 si ilikuwepo.Kama ulikua na kipilipili hio style utaiskia tu kwa wenzio
Yalikupata nini? Nilikatwa denge sababu ya kukosa msusi sababu nilikuwa siwezi kusuka nikawa dumejike hapo sasa. Kesho yake nikakumbana na CO niliambiwa nioteshe nywele kwa siku sita. Hapo sasa. Mimi adhabu kila siku na nywele kipilipili. Bwanawe Kambi ya michezo ilinisave Mungu si athumani.Weee ishia hapo hapo!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Halafu kulikuwa na nidhamu ya mavazi wake kwa waume hakuna kukwazana.Enzi hizo.
nikiona hivi unanipa mzuka maana ndo mambo yetu haya
Picha ikipigwa ndo imepigwa[emoji1] [emoji23]Picha moja inachukua nusu saa kupigwa