Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,307
Nidhamu ya kazi ni ushindi[emoji444] [emoji450] na mafanikio mema kazini eeeh[emoji442] [emoji444] viongozi na wafanyakaziii[emoji445] lazima wote tuwe na nidhamuuu[emoji450] [emoji443] migogoroo[emoji445] na migonganooo.. ya kazini ni upotofu wa nidhamuu[emoji450] [emoji443] [emoji444]
Siku hizi hiyo radio ndo smart phone
Duu thanks kwa kumbukumbu mujarabuNidhamu ya kazi ni ushindi[emoji444] [emoji450] na mafanikio mema kazini eeeh[emoji442] [emoji444] viongozi na wafanyakaziii[emoji445] lazima wote tuwe na nidhamuuu[emoji450] [emoji443] migogoroo[emoji445] na migonganooo.. ya kazini ni upotofu wa nidhamuu[emoji450] [emoji443] [emoji444]
Nimefurahishwa na uwezo wako wa kutathmini jambo kwa kina.hawana hata dalili ya kibamia! hawa ndo wanaume bwana
Masahihisho kidogo ni msingiNidhamu ya kazi ni ushindi[emoji444] [emoji450] na mafanikio mema kazini eeeh[emoji442] [emoji444] viongozi na wafanyakaziii[emoji445] lazima wote tuwe na nidhamuuu[emoji450] [emoji443] migogoroo[emoji445] na migonganooo.. ya kazini ni upotofu wa nidhamuu[emoji450] [emoji443] [emoji444]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ni mmoja wao. Napenda sana Afro.Vinyozi walikuwepo ilikuwa ni style na sasa hivi imerudi tena jaribu kufuatilia mkuu.
ameenNimefurahishwa na uwezo wako wa kutathmini jambo kwa kina.
Nina zitafuta sana pekosi
why sisi tukipiga hizo staili wazazi wanatuona wahuni wakati ndio ilikuwa staili zao[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji51]
why sisi tukipiga hizo staili wazazi wanatuona wahuni wakati ndio ilikuwa staili zao[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji51]
Mshana umenifanya nichukue picha ya bibi na babu yangu,,Those days remark OLD IS GOLD.
Siku hizi mi naona kuna tofauti na zamani,kipindi kile fashion ikiingia inaingia kwa kila mtu ndani ya nyumba Baba,mama na watoto wote mnaingia kwenye hiyo fashion,kwahiyo hakuna wa kumuona mwenzie muhuni,ila siku hizi fashion inaingia wazee wana simama na zile za zamani na kuwaachia vijana waingie kwenye hiyo fashion na hatimaye kuna anza kuibuka maneno ya kuwa vijana ni wahuni.Anyway sijui kimetokea nini hapo.why sisi tukipiga hizo staili wazazi wanatuona wahuni wakati ndio ilikuwa staili zao[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji51]
Mazingira yanapendeza zaidi kama pombe ya kienyeji itauwa inabatikana maeneo ya jirani