katara
Kumbe na wewe ni wa Ilboru ee
Nakumbuka advance pale songea boyz kulikuana moja STG....tulikua tunalita 'Locker au tranker'...yan kuwaka mpaka tuskume,halina starter..
Wakuja utawajuwa tu.
Wakuja utawajuwa tu.
Kwetu hii ni kbiriaSisi kwetu tulikuwa tunaita Mbaula
Lipo hadi Leo.
ukiligusa tu tetenasi!!