Enzi hizo mwanamke ukimuambia tuachane analia sana ila siku hizi thubutu

Kweli maisha yanabadilika wandugu hali ya sasa kwenye mapenzi siyo kama zamani,enzi hizo ukimpenda mwanamke halafu mkatibuana ukimuambia kuanzia leo mimi nawewe mapenzi yetu yamekwisha basi hapo mwanamke atalia vibaya mno mpaka utamuonea huruma lakini kwa hali ilivyo sasa ukimuambia tuachane tu anakujibu poa kwaheri na hakutafuti tena

MWISHO: kweli mapenzi ya zamani zamani mpaka nimeyamisi kwakweli
Ni baada ya kuitwa Beijing,,,
 
Kuhusu sisi wanaume je vp? Wao wakituambia,au du akikwambia tuachane ama yey kakukacha? Inakuwaje hapo...
 
Sasa hivi mioyo ya wanawake imeanza kujeruhiwa tangu akiwa hajavunja ungo mpaka ulipomkutia wewe tayari moyo wake umeshaota sugu una magaga kabisaa hivyo ukimwambia tuachane jibu lake linakua For good
 
unesema kweli dada ila naomba nikuulize kwanini mapenzi yasasa siyakuoana
 
Mkuu, majaribu kama haya ni magumu sana.. Hata kama anakupenda atakukubalia tu jambo lako kuogopa kuitwa king'ang'anizi..
 
Mkuu, majaribu kama haya ni magumu sana.. Hata kama anakupenda atakukubalia tu jambo lako kuogopa kuitwa king'ang'anizi..
lakini hatakama ukikwazana na mpenzi wako kama mmeshindwa kupatana basi hapo hakukuwa na mapenzi kabisaa
 
Back
Top Bottom